PetCash
JF-Expert Member
- Mar 20, 2012
- 1,997
- 1,999
So I'm driving home (Yes this early) and I think;
Nina familia (mke na watoto). Siwezi kusema ni mkongwe kwenye ndoa, hapana ila nimekaakaa. I love my family. Nina mke mpambanaji, and yes she is a beauty (Kwa mimi lakini ). Naweza kusema familia yangu ni familia ambayo mwanaume wa kawaida (an average man) angependa kuwa nayo. I thank God For this.
Maisha yetu ni ya kawaida, double income from working class couple. Kuna stress za hapa na pale na pia ndoa ina kupanda na kushuka (Sio tambarare wala mteremko kila mara). Nimeridhika na familia niliyonayo na nimeridhika na kipato tulicho nacho.Hakuna shida yoyote kati yetu wala katika maisha yetu. So naweza sema financially, socially and in marriage issues we are very fine.
Ila sasa niko very stressed na maisha ya kwenda kazini kila alfajiri, jam, maisha ya barabarani na kwene daladala mpaka na miss maisha ya utoto. Its like when I was young (Hapo tunacheza mpira one touch) and wakati giza linaingia and I would hear the voice of my mother calling keni, get back home its getting dark!! (Nimekulia mjini lakini this should be in our tribal language)
It really makes me want to say f*ck all this and go back home!
Nisameheni kwa kiswanglish