blogspot JF-Expert Member Joined Jan 7, 2017 Posts 1,269 Reaction score 1,148 May 26, 2018 #1 Habari wakuu Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mrembo wakulieazana wakati nikijiandaa kuachana na usingle. Sifa; Awe mkoani Morogoro Awe na umri usiozidi miaka 30 Asiwe mke Wa MTU tafadhali (hapa nakazia zaidi) Kwa aliye tayari Ani PM Shukrani.
Habari wakuu Kama kichwa kinavyojieleza natafuta mrembo wakulieazana wakati nikijiandaa kuachana na usingle. Sifa; Awe mkoani Morogoro Awe na umri usiozidi miaka 30 Asiwe mke Wa MTU tafadhali (hapa nakazia zaidi) Kwa aliye tayari Ani PM Shukrani.
Dharra JF-Expert Member Joined Jun 23, 2017 Posts 1,661 Reaction score 2,975 May 27, 2018 #2 Mkuu ukibahatika utujulishe pia.