Natafuta mke nipo dodoma

Natafuta mke nipo dodoma

Karibu sana Dodoma... Utapata tuu relax
 
Kama nilivyo jieleza natafuta mke wa kufanya naye maisha baada wa kwangu kukataa kwenda na mm Dom so tumeacha kasema yy hawezi kuacha kazi ndo mume wake wa kwanza na c mm so nimeamua kujiengua bint aliye tayari ani pm mwisho 5wakwanza Nita chambua ntapata aliye sahihi kisha account hii naifuta coz ctapenda nimkwaze mke wangu mpya
Uyo aliyekataa kwenda nawe ulimtoa huku jf?
Huko unakotoka, unakopita na unakokwenda hakuna wanawake?
Au umesikia wanawake wa jf ni wazuri na wema Sana kuliko wa nchi kavu uraiani?

Huu nao ni Ujinga uliopindukia
 
Ndio nilmpta huku kwani vp
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom