Battle: Mke wa ndoa VS michepuko

Battle: Mke wa ndoa VS michepuko

Okinawan

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2018
Posts
254
Reaction score
261
Uzi huu ni maalumu ili kutatua utata unaoendelea juu ya pande hizi mbili na inawezekana kabisa hakuna ukweli wowote ila niimani tu iliyojengeka kwa baadhi ya wanaume.

Kila mwanamke ana sifa zake na kulingana na kundi lililotajwa hapo juu lakini kunamjadala wa muda mrefu kuwa mwanamke akisha olewa anajisahau ndio maana wanaume hufuata michepuko huko nje ya ndoa.

Je,ni kweli michepuko wanajua mapenzi kuliko wanawake walioolewa?

Picha,tafiti zinaruhusiwa 'karibuni'

Screenshot_20180526-094151.jpg
Screenshot_20180526-093850.jpg
 
Sio kweli micheps wanajua mapenzi .....

nihali fulani ya uanamme kujihis akiwa na mwanamke mwingine basi ni bonge lamtu yaan anajisikia km Mfalme.

Ila amin nakuambia ,Hata mfalme suleiman, alikua na wake 600 ,michepuko 300 ikaendaa ikaendaaaa ikaendaaaaaa, akajikuta hata kwa mwaka hawezi kukutana kimwili na wanawake 200 ,,ikafikia wakati akitaka kuongea nao basi wanakusanywa au anaandika mabango mwishooooooooooni kabisaaa akaamua kutulia zake na mke wake wakwanza ...yule aliyemuandikia kitabu cha "wimbo uliobora".
 
Mpaka anakua mkeo wa ndoa means mmekubaliana kwa vyote pengine anajisahau na wewe kama mume n wajibu wako kumkumbusha mkeo

Michepuko haijui mapenzi sema inatumia mapungufu ya wake za ndoa kurekehisha pale anapokosea wewe kama mume ndio unaona sahihi

Ni vyema mkawekeana taratibu za kuambiana ndani na kurekebishana inajenga na kuimarisha ndoa
 
Michepuko haijawahi kuiacha ndoa salama. Kwani hufanya mambo ya kuogofya ambayo mke wa ndoa hawezi kufanya. Hali kadhalika mkeo wa ndoa au mpenzi wako kama anachepuka, basi ukae ukijua anayoyafanya huko kamwe hatokaa ayafanye na wewe kwakulinda heshima ya ndoa na ile hali ya kuona utamchukuliaje.
 
Michepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?

Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.

Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
chepuko ni opportunist tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition.

Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc. Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea. Huwezi kufananisha a family life vitu vya ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Absolutely.
100%.
Nothing less, nothing more.
 
Michepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?

Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.

Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Ndo maana nakupenda mdogo wangu. Always on point!
 
Wote ni wanawake wenye haki sawa na mambo sawa...

Tofauti yao ni kwamba mke ni taken, mchepuko ni single...


Cc: mahondaw
 
Michepuko ni opportunists tu, afu inajua kuna nyumba kubwa so lazima ihakikishe inacompete vya kutosha ijiweke kwenye nafasi nzuri, to prove their worth. Lazima ikuibie ibie na cares sijui mapishi ya nini bila kusahau limbwata la kinyama cha K. So huku ni fantasy zaidi coz nyumba ndogo ipo just to compete, na hakuna mtu anayepumzikaga kwenye competition. Kama anayajua mapenzi kiasi hicho si atafute fresh man amnogeshe hadi amuoe? Kwa nini upoteze ujuzi kwa mtu ambaye possibly hatokuwa mumeo milele?

Afu maisha ya kuishi na mke ni tofauti na kuishi na mchepuko.
Mke unaishi naye ndani ya nyumba, there is more to your relationship than sex, kwa mchepuko sex ndo kiunganishi chenu kikuu. Mnaonana mkimissiana tu na kula good times, no discussion za ada za watoto, homeworks sijui mtoto anaumwa, kodi, baba mkwe kalazwa etc.
Hata mkeo maisha uliyoishi naye kwenye dating ni tofauti na sasa, kule most of times ilikuwa ni good times tu ndo zikakunogea hadi ukamuoa. Na sasa hivi kila wakati unamuona, umemzoea ndo unahisi umemchoka. Muache mkeo uchukue mchepuko uoe afu uone kama zile fantasy mlizokuwa nazo kwenye kuchepuka zitaendelea.

Huwezi kufananisha a family life na vitu vya ajabu ajabu sijui kuchepuka life, wala kumfananisha mke kitu chema na kahaba shimo refu. Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
Umemaliza mama mchungaji nakupenda tu mm
 
Mke na mchepuko ni sawa na Simba vs Ashanti united
 
Back
Top Bottom