Naomba jibu kuhusu swala hili, hasa kwa KE waliopo kwenye jukwaa hili.

Madihani

JF-Expert Member
Apr 30, 2015
5,973
6,606
Habari wanajamii.
Huku mtaani tukijaribu kujiweka karibu nanyi ili kuanzisha mahusiano yanayoweza kupelekea ndoa mnatuona hatuna maana kabisa.

Lakini mnakuja kutafuta marafiki Jf na kwenye mitandao mingine,kwanini msitukubali huku mtaani au mnategemea miujiza kwenye mitandao.

Binafsi nashindwa kuelewa maana natamani kupata mke mwema ila nifahamiane nae mtaani sio mtandaoni,maana hapa inakuwa shida kutambua muonekano wa mrembo husika.
 
Chunguzi nyingi zinasema mahusiano yanayo anzishwa mitandaoni yanadumu mda mrefu kulinganisha na yale ya kukutana mtaani, kazini, shuleni, nk.

Wigo wa kutafuta ni mpana maana unakutana na kila aina ya watu.
 
Tafuta pesa uwe nazo, yaani ufahamike kwa ajili ya pesa utatafutwa kilaini sana
 
Chunguzi nyingi zinasema mahusiano yanayo anzishwa mitandaoni yanadumu mda mrefu kulinganisha na yale ya kukutana mtaani, kazini, shuleni, nk.

Wigo wa kutafuta ni mpana maana unakutana na kila aina ya watu.
Njia nyingi humchanganya mwenye safari, ukitakata yote kwa pupa utakosa yote ,
Hebu thibitisha hoja zako hizo japo hata kwa kihenga.
Na utupe mrejesho wa hizo namma zote kama zimekuletea matunda.
 
Hapo kwenye mtaka zote kwa Pupa atakosa yote. (Sijakuelewa)

Kwasababu mimi sio mhenga nitapenda kuchangia zaidi kulingana na wakati wangu.

Siwezi kutoa experience yangu hapa sababu nitakuwa natoka nje ya dhumuni la mwenye uzi. Ameuliza swali hajauliza tutoe ushuhuda.

Why online love is more likely to last
 
Nimeandika hiyo hoja ya mtaka yote kwa pupa hukosa yote ,nikiwa na maana kuwa ,kwa kuangazia hizo wigo nyingi za kukutana zinaweza kutuchanganya.
Hoja na madhumuni ikiwa nikutaka kupata(frame) njia ambayo ni sahh zaidi haswa kwenu jinsia Jirani maana inaonekana hii ya kukutana huko mtaani hamuikubali that's y mnatafuta wa mtaandaoni.
Which is more powerfully way to Go thy? zaidi ya hii ya kukutana na kutoa ya moyoni .
 
Chunguzi nyingi zinasema mahusiano yanayo anzishwa mitandaoni yanadumu mda mrefu kulinganisha na yale ya kukutana mtaani, kazini, shuleni, nk.

Wigo wa kutafuta ni mpana maana unakutana na kila aina ya watu.

Samahani,

Tunaweza fahamu mifano hai ya hizo chunguzi kinagaubaga

Asante
 
Back
Top Bottom