Ushauri wanawake: Sio lazima wote muolewe

Quinton Canosa

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2012
Posts
1,228
Reaction score
1,264
Habari wana JamiiForums,

Siku za karibuni wanawake wengi sana wamekuwa wakihaha usiku na mchana kuzitafuta ndoa na hata kuyapata mahusiano yenye nguvu lakini wengi wameishia kuzalishwa au hata kutoolewa kabisa na mizania inaonyesha idadi ya wanawake wanaoolewa seriously ni wachache.

Wengi wao ni part time tu wala hawadumu kabisa kwenye mahusiano au ndoa pamoja na jitihada hizo wanawake wengi wa kizazi hiki kitu kinachowaangusha ni TABIA MBAYA NA UJUAJI MWINGI, KIBURI, DHARAU NA MATAKATAKA KIBAO YA HOVYO.

Nilikuwa nawashauri tu wanawake hao kwamba wasiwe na wasiwasi kwani sio lazima wote waolewe wengine ni wa kusindikiza tu wenzao maisha hayawezekani kuwa sawa hata siku moyo ndio maana hata matunda kuna mengine machachu, mengine matamu, mengine matunda ya sumu, so tulia binti ukiona tabia zako hazieleweki na una mambo mengi.

RELAX NA AMINI SIO LAZIMA WOTE MUOLEWE

Wasaalamu
 
Wanawake wanaojielewa wanalitambua hili.

Wanawake mcharuko hawatambui, wao maisha fake, tabia chaf, kuchukua ushauri kwa mashoga..
Nataka kuwaambia wanawake mcharuko kuwa hakuna kipindi mwanaume anakuwa makini kama kipindi cha kutafuta mke, yes mke, hapa ukichemsha mwanaume anakutema instantly.

Kuwa real, usiwe fake lasi hivyo mtazid kuumia everyday
 
nimeupenda huu ushaur
 
Wenye masikio na wasikie
 
Na siku hizi hili janga linazidi kuwa kubwa wanawake kutoolewa.
 
Wanawake wanaojielewa wanalitambua hili.

Wanawake mcharuko hawatambui, wao maisha fake, tabia chaf, kuchukua ushauri kwa mashoga..
Nataka kuwaambia wanawake mcharuko kuwa hakuna kipindi mwanaume anakuwa makini kama kipindi cha kutafuta mke, yes mke, hapa ukichemsha mwanaume anakutema instantly.

Kuwa real, usiwe fake lasi hivyo mtazid kuumia everyday
Kama wasipokuelewa basi hiyo dhambi itakuwa juu yao
 
Hata kwenye biblia ya kale makahaba walikuwepo.
Hivyo wengine wapo ili wawe makahaba.
Sema usuria ndio wameukimbia siku hizi.
Ilitakiwa wengine wawe wasaidizi wa wake za watu.
 
Back
Top Bottom