Hivi wanawake ndevu zinawasaidia nini?

Hivi wanawake ndevu zinawasaidia nini?

TOHATO

JF-Expert Member
Joined
Dec 18, 2016
Posts
1,493
Reaction score
5,393
Kuna baadhi ya wanawake wenye ndevu na kuendelea kuziacha hivyo hivyo
Hivi zinawasadia nini ?

Mi nikionaga mwanamke kafuga ndevu hata kuongea nae ni shida. Namuona kama ni mwanaume anae kuwa na tabia za kike(shoga)

Kuna wanaosema ni ishara ya utajiri ila nawaona wenye maisha ya tabu tu.

Kwa kawaida kuna maumbile ya nje ya kujulisha huyu ni mwanaume au mwanamke. Mtu kuwa na ndefu ni moja ya kujulisha ni mwanaume sa we mwanamke zinakusaidia nini hizo ndevu?
 
Ni heshima ya kiume ndo mana hata bubu wanatumia kuonesha kidovu kuonesha baba
Heshima ya kiume ni nanihii, ndevu si lolote ndiyo maana hata baadhi ya akina mama wanazo!
 
No bias,ila wanawake wa3 nnaowajua wana ndevu ni Wanyakyusa.
 
Uonongea utadhani hizo ndevu wanaziotesha wenyewe kinguvu wakati ni maumbile tu...

Hujafa hujaumbika...


Cc: mahondaw
 
Back
Top Bottom