Wadada, mnajifanya mna maringo kumbe shida zimewajaa

Mgegedo

Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
91
Reaction score
89
Kuna dada mmoja alinitumia request fb na mimi nika accept bila hiyana takribani wiki mbili zilizo pita, nilikua na kawaida tu ya kumtumia text kwa fb messenger just kumjulia hali tu lakini mara nyingi majibu yake yalikua mafupi mafupi mfano unaweza ukamtumia salamu "mambo" yeye anajibu kwa kifupi tu "p" yani kana kwamba najipendekeza tu kumsalimia lakini yeye mwenyewe hapendi.Most of the time amekua na hii tabia ya kujibu short ingawa sikumtongoza, huenda alihisi tu kwamba namtengenezea mazingira ili nimtongoze ndomana alianza kuleta mashauzi.

Hali hiyo iliendelea kwa zaidi ya wiki na kitu mpaka jana nilipomsalimia nikaona amejibu vizuri tofauti na siku zote mpaka nikashangaa leo imekuaje anajibu kistaarabu kiasi hiki.Kumbe alikua ana mpango wa kunipiga mzinga ndomana zile "k" na "p" hakutaka kuziweka kwa wakati huo.

Mara baada ya salamu nikaona mtu ananiambia "samahani kaka nina shida kama utaweza nisadia nitashukuru" nikamwambia usijari nieleze shida yako kama itakua ndani ya uwezo wangu basi pasina shaka nitakusaidia.Akanambia ana shida na kiasi flani cha pesa kama nitamsaidia atanishukuru maana mambo yake hayakwenda kama vile alivyotaraji.

Kwakua alianza kuonyesha tabia ya dharau since day one naanza kuchati nae nikaona hapa hapa ndo pakumshikisha adabu maana pesa aliyotaja ilikua ndani ya uwezo wangu lakini roho yangu ilisita kumsaidia, nikamwambia tu kwamba sipo vizuri ila kama ningekua vizuri ningemsaidia na yeye akasema sawa.

Leo nimeona nimpime kwa kumsalimia nione kama atajibu nikaona ka view tu salamu yangu halafu kakaa kimya kama hayupo online mimi nikaona isiwe tabu kwani natafuta nini kwake.Halafu kibaya zaidi ana elements zote za udanganji mana picha zake za viwanja tofauti tofauti zimetosha kabisa kuniaminisha kwamba ndo walewale wazee wa kudanga.

Ushauri kwa wadada
Jitahidini kuwa na kauli nzuri hata kwa watu msiowafahamu mana huwezi jua nani siku moja atakua msaada kwako.
 
Karibu mjini....Hakukosea mzee,ulikua unatengeneza mazingira,hapo mngenegotiate bei yake tu ukale papuchi...Na sio kila profile ya kike unayoikuta kwenye social media ukadhani nyuma ya keyboard kuna papuchi nyingine ni dushe asee
 
Kamwe maishani sitoweza kumwomba mwanaume pesa, na sijawahi, awe bf wangu sijawahi, nitakopa kwa mwingine ila sio kwa mwanaume.

Mwanaume anaejitambua anajua majukumu yake akipenda kunipa anipe mwenyewe. Nitamshukuru na kudhamini pesa yake ila sio kumwomba.kha ntaanzia wap? Yeye hana macho kuona Nina uhitaji? Kwa nini nimwombe?

Note. Wadada wenzangu pambaneni na hali zenu. Pesa ya mwanaume haitoki bure.
 
Good gal!

Mchuchu kama wewe naweza kuamka tu na kujiskia kukutunuku hata ka milioni bila hata kuniomba maana najua na naona ukipambana na hali yako na siyo kukaa tu unasubiri mwanaume.
 
Izo P, K duh! Mwanamke akinijibu ivyo najua kabisa uyu hana time na mm, wengine nakua navunja ukimya na kuwambia kuwa "TAFADHALI USIJIBU KIUFUPI KAMA HUWEZI KUJIBU KAA KIMYA " alaf utakuta shida nyingii
Hizo ni dharau . kwani ukimjib mtu vizuri kuna shida gani jmn?
Unamjib mtu vibaya alaf unataka msaada wake.. huo ni ujinga. Wadada hata kama mna njaa , jaribun ku behave
 
Kamwe maishani sitoweza kumwomba mwanaume pesa, na sijawahi, awe bf wangu sijawahi, nitakopa kwa mwingine ila sio kwa mwanaume.

Mwanaume anaejitambua anajua majukumu yake akipenda kunipa anipe mwenyewe. Nitamshukuru na kudhamini pesa yake ila sio kumwomba.kha ntaanzia wap? Yeye hana macho kuona Nina uhitaji? Kwa nini nimwombe?

Note. Wadada wenzangu pambaneni na hali zenu. Pesa ya mwanaume haitoki bure.
Wanawake wenye adab kama ww . Wanastahili wanaume wenye mapenz ya kweli. Yaan mtu kama ww naweza nikajikuta nakupa hata kiwanja huku nikisikia furaha moyoni..
 
Kamwe maishani sitoweza kumwomba mwanaume pesa, na sijawahi, awe bf wangu sijawahi, nitakopa kwa mwingine ila sio kwa mwanaume.

Mwanaume anaejitambua anajua majukumu yake akipenda kunipa anipe mwenyewe. Nitamshukuru na kudhamini pesa yake ila sio kumwomba.kha ntaanzia wap? Yeye hana macho kuona Nina uhitaji? Kwa nini nimwombe?

Note. Wadada wenzangu pambaneni na hali zenu. Pesa ya mwanaume haitoki bure.
Hell yeah. Kunywa soda kwa mangi nitalipa.

Kuomba omba ni aibu.
 
Sasa bro unazan wakitujibu vzuri watapokea mitongozo mingapi kwa siku?

Maana hata hapo umejibiwa p, k, ndo umepowa lakini ungejibiwa vizuri usingeishia hapo maana yajayo yangefurahisha.

Ngoja adange tuu maana alikuona huna ela na hujiongezi.
 
Kamwe maishani sitoweza kumwomba mwanaume pesa, na sijawahi, awe bf wangu sijawahi, nitakopa kwa mwingine ila sio kwa mwanaume.

Mwanaume anaejitambua anajua majukumu yake akipenda kunipa anipe mwenyewe. Nitamshukuru na kudhamini pesa yake ila sio kumwomba.kha ntaanzia wap? Yeye hana macho kuona Nina uhitaji? Kwa nini nimwombe?

Note. Wadada wenzangu pambaneni na hali zenu. Pesa ya mwanaume haitoki bure.
Ndo zenu hizi. Unazan kuna mwanamke anasema anataka hela. Kwann msiishie kwamba hamiezi omba ela mwanaume , zaid unaishia eti tujiongeze wenyewe. Hahaha nyie staki nataka ndo zenu.

ILa fresh. wote wangekuwa kama hivyo ingekuwa kitongaaaa
 
Kamwe maishani sitoweza kumwomba mwanaume pesa, na sijawahi, awe bf wangu sijawahi, nitakopa kwa mwingine ila sio kwa mwanaume.

Mwanaume anaejitambua anajua majukumu yake akipenda kunipa anipe mwenyewe. Nitamshukuru na kudhamini pesa yake ila sio kumwomba.kha ntaanzia wap? Yeye hana macho kuona Nina uhitaji? Kwa nini nimwombe?

Note. Wadada wenzangu pambaneni na hali zenu. Pesa ya mwanaume haitoki bure.
Hizi busara za watu wazima ziwafikie Shunie
 
Back
Top Bottom