Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za jumapili na poleni na majukumu ya kila siku. Bila kupoteza muda nina rafiki yangu wa kike tulipotezana muda mrefu sana. Sasa hivi karibuni tumekutana tena yeye tayari ameshaolewa na ana...
0 Reactions
43 Replies
4K Views
Deleted member 485868
Nyoka hata umpe dumu la maziwa atabaki kua na sumu tu,ndivyo alivyo mwanaume asietambua wala kujali THAMANI ya mwanamke...huyo hata umpe bikra bado atatafuta mwenye RAMBO kama sio fuko la Nazi...
19 Reactions
109 Replies
6K Views
husika na kichwa cha habari hapo juu nmeona niànzishe hii ratiba mpya ili kuongeza ufanisi kwenye sekta ya kutongoza maana naona naona kuna muda inakua ni mtihani kumtokea demu yeyote yule kwa...
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Wakuu habari, Kumekuwa na wimbi kubwa la wadada wa sasa kuzalia nyumbani. Wapo waliopata mimba kwa bahati mbaya..na wapo ambao wanaamua kuzaa tu kwa kuona umri umeenda. Tujadili kwa undani...
5 Reactions
98 Replies
10K Views
Kuna umri ukifika kina Dada wanatia huruma kanisani ..jumapili hawakosi. Mbaya zaidi hata kwao wazazi wao huwavunja moyo... Wanaanzwa kuambiwa maneno mabaya na wazazi wao.. Hivi wewe una nuksi...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Kuna Dada huwa namfukuzia,Leo ameniomba nimtoa lunch hotel ,nikamwambia poa twende Tumefika pale nikamwambia mhudumu msikilize huyu Mdada kaagiza niletee hiki,hiki,hiki,na kile, nami nikaagiza...
2 Reactions
73 Replies
6K Views
Asalaam.... Kila binadamu ana misimamo yake. Kuna hili la baadhi ya wanawake kukataa kubadilisha majina yao na kujiita majina ya Waume zao. mfano unaitwa Khatwe Masumbuko. nikikuoa unakuwa...
5 Reactions
75 Replies
5K Views
Tumezaliwa wa nne katika familia moja wazazi wametulea katika maadili ambao kwa upande wao wameona yanatufaa katika huu ulimwengu, bila ya kuonyesha chembechembe au aina yoyote ya upendeleo kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Leo sitaki hata kuchangia sana kwani nimelala na hasira na nimeamka pia na hasira tena Kali mno kutokana na ' Upopoma ' uliotukuka nilioushuhudia Usiku wa kuamkia leo. Niseme tu kwamba naomba...
2 Reactions
29 Replies
3K Views
Life is not fair only death is fair. Imagine kila unachofanya kinaleta mrejesho hasi, everyone say never give up unakubali unaamka unaanza hustling zako tena lakini changamoto unazokutana nazo...
15 Reactions
44 Replies
4K Views
1. Financial Discipline | Sio tarehe 3 tu ela ishaisha unakopa.mtoto wa kiume unadaiwa kila nyumba na bar zote tareh za mwanzo tu huo ni umama,acha umama 2. Be Responsible | Get someone to depend...
23 Reactions
31 Replies
3K Views
Baada ya kuwa naye faragha na mie kumaliza mambo yangu akaniambia mwenzio nilikuwa na X wangu ambaye halali. Alikuwa anashughulika paka paka panawaka moto ila wewe unanichukulia kama ndugu yako...
7 Reactions
60 Replies
10K Views
Jamani mi naomba ushauri, nataka nimuumize huyu mwanamke maana haeleweki kwao walianza kwa kunipangia tarehe ya kuoa wao, nikawa mbogo lakini nikasema kwakuwa wamesogeza mwaka mmoja ngoja nivute...
2 Reactions
94 Replies
20K Views
Kati ya wanawake na wanaume ni kundi lipi linaloongoza kwa usaliti katika mahusiano ya kimapenzi???
0 Reactions
42 Replies
4K Views
Hili sijawahi kulielewa utasikia watu husema kwa mfano huyu anajilengesha we mwache nitamgonga mpaka ashike adabu, au siku ukinipa utanikoma yaani hapo anawambia demu. Ukiwasikiliza wakiongea...
2 Reactions
44 Replies
11K Views
Habar zenu wanajamvi? Nichukue fursa hii kuwapongeza wakurugenz wa Jf kwa juhudi zao mpka sasa tuko hewani tena hakika mnastail pongezi Baada ya pongezi na shukuran niende kwenye mada! Kiukweli...
1 Reactions
19 Replies
4K Views
Hapa inabidi utumie technique namba 3 kipengele c toka kitabu changu cha The only technical guide ,kwanza tukubaliane hawa viumbe huwa unapomtongoza hawapendi hata kidogo ulete viubabe vya kiume...
0 Reactions
20 Replies
18K Views
Heshima kwenu wakuu, Naomba niwashirikishe hiki kitu. Wanasema kwamba nyama ni ileile ila mabucha tofauti. Ukweli ni nyama ni tofauti na mabucha ni tofauti. Wanake wembamba watamu sana, halafu...
7 Reactions
68 Replies
10K Views
Kati ya 100% ya wanawake ni 15% tu ndio hujua wajibu wa ndoa zao ni wajibu wa nini maana ya kuitwa mke wa mtu. Lakini hii 85% hawa wote hujua ili kuwa mke wa mtu lazima utimize haja za kimwili kwa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Salam wanajf husika na kichwa cha habar hapo juu kuna dem nilidhan ananielewa ile kumtokea tu akanitumia SMS kama barua nakumbuka tu neno sina hisia na wew mpaka Leo sitosahau yaan MTU unampenda...
3 Reactions
68 Replies
5K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…