Habari za asubuhi wana jukwaa.....Bila shaka sote tumeamka salama salmini
Kuna hili suala ambalo limeshika hatamu kwenye maeneo mengi hapa nchini hasa huku kwenye mitandao ya kijamii...
Mwanaume anaeitwa Simon Louis (49) amekataliwa ombi lake na mpenzi wake la kumuoa Mary Emmanuella (41)ambaye ni mpenzi wake aliyempenda mpaka kuokoa maisha yake mara baada ya kujitolea figo yake...
Wakati nipo sekondari nilikua darasa moja na demu mmoja wa kihindi, alikua mtoto Mashallah kwa sura na umbo na alipenda kujichanganya na 'waswahili' japo alikua na mipaka. Nilikua mtundu kiana na...
Mimi umri wangu27,Group langu la damu ni A-ve, nahitaji rafiki wa kweli mwenye Rhesus negative mwenzangu tuweze kushare mawazo pindi nipatapo shida ana uwezo wa kunisaidia am serious kwa hili kama...
Za siku nyingi hapa GT
Huwa inatokea mara kadhaa wale vijana wanaojiamini kujaribu kumtokea mdada au mmama mkali wa hadhi fulani. na kama zari mwanamke huyu anakubali kuwa manaweza kuwa...
Aisee, mambo ni vipi hapa jukwaani,
Jamaa yetu mmoja amefanya maajabu kidogo kwa kitendo chake cha kuwa na mahusiano na dada mmoja wa miaka 29 kwa muda wa miaka mitatu.
Muda wooote Wakati Wapo...
Habari wakuu,
Mimi nashangaa watu wanakonda wanawaza sana hadi wanashindwa kula eti kisa kutemwa na mpenzi wake.
Hivi kuachwa na mpenzi nalo ni tatizo au kujiendekeza?
Matatizo ni kuumwa...
Wakuu,mimi kuna nyumba moja nimepanga huku kitaani kwetu ni nyumba quality sana miongoni mwa nyumba za namna hii chache hapa mtaani kiasi kwamba mandhari yake yapo safi sana pametulia wapangaji...
Kama head ilivyo hapo juu.
Wazazi mlio na watoto wa kike wachungeni sana watoto wenu dhidi ya ma sponsa na vijana wengine
Mimi kama kijana,nimeshuhudia mabinti karibu wote ninawafahamu na baadhi...
Mama ninafahamu kuwa una account JF, ile smart phone uliyo nunuliwa kama Birthday present unaitumi ipasavyo.
Mama ninafahamu wewe ni mtu up to date na huu unene wangu unakukera lakini ajabu...
Hello guys
1) Kwa sisi wanaume wengi, tukipata hela na idadi ya kuwa na michepuko/ wanawake huongezeka, hii hupelekea ugomvi mkubwa katika mahusiano hadi kuachana, wanaume wengine huenda mbali...
Binadamu tangu aje duniani amekuwa na mahitaji matatu ya muhumi ambayo yamemuwezesha aishi kulingana na mazingira aliyomo
Mahitaji hayo ni Chakula,malazi na makazi
Baadae tumeongeza mapenzi kama...
Hivi kule club mkienda ni lazima muodoke na mtu wa kwenda kumgegeda? Inaudhi wakati umekwenda kuenjoy mziki kwankiingilio chake, umejigharamia kinywaji, anakuja mtu kukuuliza sasa vipi?
Kuwe na...
Umewahi kusuuzwa roho ikasuuzika au umewahi kupendwa mpaka ukashindwa kuhema ?
Sasa mapenzi nikitu kingine usiombe upendwe.
Mapenzi ni raha mpaka unasahau mpangilio wa siku unaweza kuuliza watu...
Nina marafiki zangu flani ni wanaume, amezalisha wadada watatu na zaidi na bado hawajafunga ndoa huku wakiwa wameachana na mama watoto zao.
Mimi niliwashauri waoe katika hao mama watoto wao ila...
Naamini mmeamka salama wanajamvi.
Kwa Madem Bikra wote, ukiona wewe ni bikra na ninakutongoza, nikatalie kabsa hata nionyeshe nia kiasi gani, au niambie kuwa ni bikra nitasitisha mtongozo...
I just wanted to take this time to say thank you. Thank you for everything you’ve done for me. Thank you for loving me and accepting me unconditionally and providing me with undivided love and...
Achana na ile mbolea walio nayo hao viumbe maana ukigusa tu kwa beki tatu kama umecheza Rafu lazima kitu kitiki(mimba) huwa hawanaga danger day wao kila siku ni danger tu.
Hawa viumbe wana utamu...