Mama mkwe nihurumie

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Mama ninafahamu kuwa una account JF, ile smart phone uliyo nunuliwa kama Birthday present unaitumi ipasavyo.

Mama ninafahamu wewe ni mtu up to date na huu unene wangu unakukera lakini ajabu mwanao hajakererka. Mama wewe unafahamu mchakamchaka wa ulezi. Wajukuu zako wakibakiza chakula ninaona shida kukitupa ilhali inanichukua wiki mbili za kuimba unga umekwisha, mchele umekwisha ndipo mwanao alete posho nyumbani.

Mama sidhani kama mama mkwe wako alikufuatilia wewe kama unavyonifuatilia mimi. Juzi umeiona Michael Kors handbags unataka kufahamu pesa niliyonunulia niliitoa wapi.

Ni kweli ninafahamu wewe ni mzaa chema na ulizaa, kulea na kusomesha. Mana yule mtoto Amelia na mimi ndiye mkewe.
 
Mama ninafahamu kuwa una account JF, ile smart phone ukiyinunuliwa kama Birthday present unaitumi ipasavyo.

Mama ninafahamu wewe ni mtu up to date na huu unene wangu unakukera lakini ajabu mwanao hajakererka. Mama wewe unafahamu mchakamchaka wa ulezi. Wajukuu zako wakibakiza chakula ninaona shida kukitupa ilhali inanichukua wiki mbili za kuimba ingawa umekwisha, mchele umekwisha ndipo mwanao alete posho nyumbani.

Mama did gani kama mama mkwe wako alikufuatilia wewe kama unavyonifuatilia mimi. Juzi umeiona Michael Kors handbags unataka kufahamu pesa niliyonunulia niliitoa wapi.

Ni kweli ninafahamu wewe ni mzaa chema na ulizaa, kulea na kusomesha. Mana yule mtoto Amelia na mimi ndiye mkewe.


Mimi mamangu nilimpiga biti hasumbui, mwambie msela wako apige biti pia mamake!
 
Mke wako sio ndugu yako, Ngoja utenguke mgongo unye hapo hapo bed ndo utaona hakuna kama mama, Uyo mkeo atatimua na kwenda kupigwa dushe, Binafsi niko tayari kwa chochote ili mama tu awe safe siangalia mama anakosa or lah, Yeye ndio first priority


Inategemea mimi sioni hivyo!
 
Pole sana sky, ndio mama zetu hao yatupasa tuwavumilie na wao watuvumilie kwa kifupi tuvumiliane hakuna aliyemkamilifu chini ya jua.

Isitoshe huyo mama hawezi kukupenda wewe kama mwanae wa kumzaa na wewe huwezi kumpenda kama mamayako mzazi sote tumeumbiwa wivu hasa mama kwa mtoto wake wa kiume na wewe kwa mumeo, ukiikubali hali wala hutopata shida na mkweo.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom