Mrejesho: Mdogo wangu kutafuta mpenzi

Mrejesho: Mdogo wangu kutafuta mpenzi

niliwahi kuleta thread kuhusu mdogo wangu unahitaji mwanaume aliye serious.
kiufupi karibia wote hawakua serious, walitaka walale nae tu eti kisa bikra.
Kwa hiyo bado anataka aliye serious? Mwambie mimi nipo serious ila nimeoa. Itampendeza kuwa bi. mdogo?
 
Watu tunavyokuwaga na uchungu na wadogo zetu wewe unamkuwadia 🙄🙄.

Reflect on your life, ups and downs za mahusiano unazojua. Is it what you wish upon your sibling?

Pia, internet is not the safest place to date. Have you thought about that?
 
mm sidhani kama yupo serious huyu...atakua anachekesha sana kama ndio
 
anataka kutuuzia mbuzi kwenye gunia hatuwezi kubali. kwanza tuone bikra ndpo tuendelee na mengine...hahahah!

Wa Serious tupo wengi sana sema naye hayupo serious ndio maana anataka mtelemko wa hivyo......!!! natania aiseee
 
Back
Top Bottom