Wazazi wachungeni watoto wa kike

Basi Nenda

JF-Expert Member
Jul 29, 2017
20,159
45,852
Kama head ilivyo hapo juu.
Wazazi mlio na watoto wa kike wachungeni sana watoto wenu dhidi ya ma sponsa na vijana wengine
Mimi kama kijana,nimeshuhudia mabinti karibu wote ninawafahamu na baadhi niliowahi ku date nao hawana mwanaume mmoja
Unakuta mtoto wa kike umri miaka 19 tu au 18 anakua na wanaume 7 (ndio saba wala sijakosea)

Kati ya hao saba ,6 amefanya nao mapenzi tayari,na watatu kati yao ni watu wazima wenye wake

Nawataadhalisha kabisa wazazi siku yakiwakuta msijekuleta post humu mkilalamika

Nimeshaona binti akiambukizwa ukimwi ana miaka 20 hivi ndio kamaliza form 4

Watoto wa kike sikuizi wanapenda sana pesa tena mizazi mingine sijui ndo ile mihuni ya miaka ile
Maake najaribu kujiuliza malaya wa zamani wako wapi ?
Jibu ni kuwa sikuizi wamezaa na wana watoto wa kike ambao wako form 3 wanakuja na nguo mpya na simu mpya nyumbani na hawaulizi vimetoka wapi

Mwaka 2016 nilishuhudia mzazi wa kike anampigia simu binti yake anamuuliza binti yake kuhusu boy friend wa binti huyo kama ni mzima (hajambo)
Mnajua matokeo yake ?
Binti sasaivi amezalia kwao na shule ndio basi tena

Yani kuna wazazi binti anasafiri nyumbani haieleweki ameenda wapi binti wa o level na wanacheka cheka tu

MABINTI WA MIAKA 16-26 WA KIZAZI HIKI WATAPATA SANA UKIMWI ACHILIA MBALI MIMBA

Wazazi muamke,malezi sikuizi yamekufa
Yani mimi siku nikiamua kuoa nitaoa bikra kwa jinsi hali nilivoiona mabinti sikuizi uhuni mwingi

Kwa wale mnaotaka picha.hakuna picha,uzi unasikitisha

NB
Narudia hayo hapo juu sio chai.nimeyaona in real life ila nimejaribu kufupisha nisije kujulikana nikiyaongelea kwa undani
 
Mkuu nashukuru sana kwa kuwajali watoto wa kike.

Ni ukweli kabisa mzazi asipotekeleza majukumu yake mtoto wa kike akiwa chini ya uangalizi wake (mzazi) atakuwa amesababisha hasara kubwa kwa jamii na serikali kwa jumla.

Ni vema wazazi wakawapa watoto hasa wa kike do's and dont's mapema ili wasihadaiwe.

"Samaki mkunje angali mbichi".... Walinena wahenga!!

Ahsante tena kwa niaba ya wazazi wote.
 
Mtoto wa kike hachungwi ila anajichunga mwenyewe!

Watu walichunga watoto wao Yaani ukienda nyumbani kwao ulinzi 24/7 na mbwa wakali tena wale Germany shepherd ila waliishia kushika midomo!

Usifanye mchezo Na mtoto wa kike akiamua kusumbua

"Kuchunga ni dhana pana, wewe umeongelea eneo moja, mtoa mada kaeleza vizuri sana, kama haujaona cha kufanyia kazi, pole, umeonyesha tu ugumu wa jambo, ujaongelea solution"
 
Dhana Ya Malezi Ni Pana Sana. Umri Huo Ulioandika Ndio Umri Ulio Katika Changamoto Za Kimalezi Na Kimaisha. Mabinti Wengi Siku Hizi Mpaka Afikie Umri Wa Kuolewa Ameshaharibika Siku Nyingi Tabia Na Hawezi Tena Kuvumilia Changamoto Za Kindoa. Wengi Hawadumu Kwenye Ndoa Kutokana Na Misingi Mibovu Ya Malezi. Siku Hizi Si Ajabu Kukuta Mabinti Wadogo Wanamiliki Simu Na Hawana Ajira Wala Biashara Maalumu Ya Kufanya.
 
Mleta mada umeongea kwa uchungu sana Ila swala la kuoa binti alotunza usichana wake napo pia kuna changamoto kumbuka, huenda akawa nae ni miongoni mwa waliozaliwa na VVU na anatumia arv's na bado ukatumbukia kwenye janga bado. Sina maana ya kutenga waliopo Kwenye shida niliyotolea mfano hapo juu laah, pili kuna hii tabia ya kutunza usichana angali yumo kwenye uchafu mwingine zaidi nao ni ile ya kutumika kwingine ambapo madhara yake ni makubwa pia.

Kwa upande wa malezi jamii kwa ujumla igeuke na kuacha ukisasa unaoigharimu baada ya mambo kwenda mrama, maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo yabidi ile dhana ya kuonywa na jamii yoyote irudi japo hakuna mtu aliye tayari kununiwa kisa kamwambia ukweli aidha mtoto wa fulani juu ya mambo mabaya ambayo anafanya ama moja kwa moja mzazi husika wa binti
 
Kuna UU sikuhizi kwa wale waathiruka wanaotumia dawa vizuri. UU maana yake Undetectable Untrasmitable
Msiwanyanyapae waathirika
 
[ aliyoyaandika si kwa lengo la kusaidia wazazi kweli.
Kama head ilivyo hapo juu.
Wazazi mlio na watoto wa kike wachungeni sana watoto wenu dhidi ya ma sponsa na vijana wengine
Mimi kama kijana,nimeshuhudia mabinti karibu wote ninawafahamu na baadhi niliowahi ku date nao hawana mwanaume mmoja
Unakuta mtoto wa kike umri miaka 19 tu au 18 anakua na wanaume 7 (ndio saba wala sijakosea)

Kati ya hao saba ,6 amefanya nao mapenzi tayari,na watatu kati yao ni watu wazima wenye wake

Nawataadhalisha kabisa wazazi siku yakiwakuta msijekuleta post humu mkilalamika

Nimeshaona binti akiambukizwa ukimwi ana miaka 20 hivi ndio kamaliza form 4

Watoto wa kike sikuizi wanapenda sana pesa tena mizazi mingine sijui ndo ile mihuni ya miaka ile
Maake najaribu kujiuliza malaya wa zamani wako wapi ?
Jibu ni kuwa sikuizi wamezaa na wana watoto wa kike ambao wako form 3 wanakuja na nguo mpya na simu mpya nyumbani na hawaulizi vimetoka wapi

Mwaka 2016 nilishuhudia mzazi wa kike anampigia simu binti yake anamuuliza binti yake kuhusu boy friend wa binti huyo kama ni mzima (hajambo)
Mnajua matokeo yake ?
Binti sasaivi amezalia kwao na shule ndio basi tena

Yani kuna wazazi binti anasafiri nyumbani haieleweki ameenda wapi binti wa o level na wanacheka cheka tu

MABINTI WA MIAKA 16-26 WA KIZAZI HIKI WATAPATA SANA UKIMWI ACHILIA MBALI MIMBA

Wazazi muamke,malezi sikuizi yamekufa
Yani mimi siku nikiamua kuoa nitaoa bikra kwa jinsi hali nilivoiona mabinti sikuizi uhuni mwingi

Kwa wale mnaotaka picha.hakuna picha,uzi unasikitisha

NB
Narudia hayo hapo juu sio chai.nimeyaona in real life ila nimejaribu kufupisha nisije kujulikana nikiyaongelea kwa undani
Labda sijaelewa vizuri. Narudia kusoma tena na tena lakini sioni kama lengo lako la msingi ni kushauri wazazi.
 
This should apply both ways. Watoto wote wapewe malezi mema. Wawe wa kike ama wa kiume.

Kumbuka wanaume ndo wanawalaghai hawa mabinti na kuwasababisha kuanza vitendo visivyoendana na umri wao wakiwa bado wadogo.

This is not a battle of the sexes. Its a call to parents and guardians to be better at it.
 
Kama head ilivyo hapo juu.
Wazazi mlio na watoto wa kike wachungeni sana watoto wenu dhidi ya ma sponsa na vijana wengine
Mimi kama kijana,nimeshuhudia mabinti karibu wote ninawafahamu na baadhi niliowahi ku date nao hawana mwanaume mmoja
Unakuta mtoto wa kike umri miaka 19 tu au 18 anakua na wanaume 7 (ndio saba wala sijakosea)

Kati ya hao saba ,6 amefanya nao mapenzi tayari,na watatu kati yao ni watu wazima wenye wake

Nawataadhalisha kabisa wazazi siku yakiwakuta msijekuleta post humu mkilalamika

Nimeshaona binti akiambukizwa ukimwi ana miaka 20 hivi ndio kamaliza form 4

Watoto wa kike sikuizi wanapenda sana pesa tena mizazi mingine sijui ndo ile mihuni ya miaka ile
Maake najaribu kujiuliza malaya wa zamani wako wapi ?
Jibu ni kuwa sikuizi wamezaa na wana watoto wa kike ambao wako form 3 wanakuja na nguo mpya na simu mpya nyumbani na hawaulizi vimetoka wapi

Mwaka 2016 nilishuhudia mzazi wa kike anampigia simu binti yake anamuuliza binti yake kuhusu boy friend wa binti huyo kama ni mzima (hajambo)
Mnajua matokeo yake ?
Binti sasaivi amezalia kwao na shule ndio basi tena

Yani kuna wazazi binti anasafiri nyumbani haieleweki ameenda wapi binti wa o level na wanacheka cheka tu

MABINTI WA MIAKA 16-26 WA KIZAZI HIKI WATAPATA SANA UKIMWI ACHILIA MBALI MIMBA

Wazazi muamke,malezi sikuizi yamekufa
Yani mimi siku nikiamua kuoa nitaoa bikra kwa jinsi hali nilivoiona mabinti sikuizi uhuni mwingi

Kwa wale mnaotaka picha.hakuna picha,uzi unasikitisha

NB
Narudia hayo hapo juu sio chai.nimeyaona in real life ila nimejaribu kufupisha nisije kujulikana nikiyaongelea kwa undani

Ujumbe mzuri ila nikuulize tu, huyo bikra utampata wapi kwa hali ya sasa? Usidanganyike na ubikra wa mwanamke, wengi wao wanakunywa dawa kuziba papuchi ili kuwapiga changa la macho wanaume.
 
Aisee usituharibie, watoto wadogo ni watamu sana. Usiwasumbue wazazi, waache waendelee na majukumu yao watoto wao tutawasaidia sisi maana nao wanatusaidia k
 
kuanzia miaka 17 mtoto wakike sio mtoto tena, huyo ni binti vijana wanasema ' binti mbichi', jinsi ya kumuepusha binti na mambo ya kifuska na wanaume sio kumuwekea mbwa saba, geti kuubwa na walizi mia nane! sio hivo..
kama una binti wa kike ana miaka kuanzia 17 unataka kuepusha na ujinga ujinga, muweke chini ongea nae kikubwa na weka mambo wazii. mbona wanaelewa sana!
tatizo la wazazi wengi wanajifanya hawana time na akiongea na mtoto anatumia nguvu na ukali, lakini naamini mabint ukiongea nao jinsi ukweli wa mambo ulivyo wanakuelewa vema
 
Mkuu nashukuru sana kwa kuwajali watoto wa kike.

Ni ukweli kabisa mzazi asipotekeleza majukumu yake mtoto wa kike akiwa chini ya uangalizi wake (mzazi) atakuwa amesababisha hasara kubwa kwa jamii na serikali kwa jumla.

Ni vema wazazi wakawapa watoto hasa wa kike do's and dont's mapema ili wasihadaiwe.

"Samaki mkunje angali mbichi".... Walinena wahenga!!

Ahsante tena kwa niaba ya wazazi wote.
Well said mkuu
Wakizembea sasaivi baadae yatakuja makubwa
 
Back
Top Bottom