Ketoka
JF-Expert Member
- Sep 23, 2015
- 1,121
- 1,983
Binadamu tangu aje duniani amekuwa na mahitaji matatu ya muhumi ambayo yamemuwezesha aishi kulingana na mazingira aliyomo
Mahitaji hayo ni Chakula,malazi na makazi
Baadae tumeongeza mapenzi kama hitaji la msingi kwa binadamu,
Wanaume tunapoanzisha mahusiano na mwanamke,kuna mbinu kadhaa ambazo hutumia ili mwanamke akupende zaidi ili asishawishiwe na mwanaume mwingine,ili abaki na yeye tu
Baadhi ya mbinu hizo ni ile ya kumjali mwanamke, mfano ukakutana na mwanamke aliyepanga anajitegemea,ukawa na mahusiano naye ,ukaajibika kulipa kodi ya nyumba yake ,mavazi ,chakula na aseti za ndani
Shida yangu ipo hapa kwenye aseti za ndani,kawaida ya wanawake ambao wanaanza maisha ya kujitegemea ampatapo mwanaume ,kitu cha kwanza ambacho huyu mwanamke atahakikisha mwanaume amekifanya kwake ni kumnunulia aseti za ndani,sofa,TV,king'amuzi,kitanda 8×8,godoro inchi 10,viti, kabati,sim Kali nk
Ukumbuke huyu mwanamke sio mke wako wa halali wa ndoa ,eitha ni mpenzi,au mchumba ambaye mmepanga kwenda kuoana baadae
Lakini ujue huyu mwanamke ni kiumbe hai mwenye akili timam,ambaye anaweza akabadilisha upepo kwenye mahusiano muda wowote na wakati wowote,au akabadisha gia angani
Baada ya muda fulani wa kuwa na wewe,akawa anataka abadilishe mpenzi,akawa anatafuta njia ya kukuacha na ukumbuke vitu ulivyomnunulia,umejibana kweli kweli,kumnunulia hivyo vitu,kamshahara kako unakatumia kote, au kamtaji kako kwenye biashar a umekamega, na ukumbuke mama ako kule kijijini hata hana kitenge,nguo,hata TV kuja kuioana labda mungu ashuke muda huo huo,lakini huku mjini Kijana yuko bize na baby
Sasa baada ya viashiria kuwepo vya huyu mwanamke kutaka kukuacha,au amekuacha,je ni halali kumnyang'anya hivyo vitu ulivyonunua? Ukumbuke inauma kweli muda huo
Wakati unamnunulia ukumbuke hamkuandikiana mkataba,kuwa hivi vitu mahusiano yakivunjika tutagawana au itakuaje,na ukijaribu kunyang'anya sheria itachukua mkondo wake,itaonekana wewe ni jambazi,je unafanye? Unamuachia hivyo vitu na huku kule kijijini kwenu hata kiti cha kukalia hamna
Hapa ndipo maamuzi magumu huweza kutokea,kuua ama kujiua
,Wanaume tufikiri beyond kwenye mahusiano