Mapenzi niue

katoto kazuri

JF-Expert Member
Feb 10, 2018
6,083
5,659
Umewahi kusuuzwa roho ikasuuzika au umewahi kupendwa mpaka ukashindwa kuhema ?
Sasa mapenzi nikitu kingine usiombe upendwe.
Mapenzi ni raha mpaka unasahau mpangilio wa siku unaweza kuuliza watu leo lini?
Kisa unasuuzika moyo ukifunga macho unaona mabusu na madimlight mekundu ya mahaba yanapita.
Kimya si kimya bali hata jforum watu wamesahau
Kisa kupendwa.
Haloo mapenzi si pesa bali upate anayekupenda mchana mwema.
Kuna usemi usemao mpende akupendaye asiyekupenda achana. Naye.
 
Huu uzi utakuwa umeanzishwa na jinsia tofauti na ya kiume, hakuna mwanaune mwenye mawazo kama hayo hapo juu.
 
Umewahi kusuuzwa roho ikasuuzika au umewahi kupendwa mpaka ukashindwa kuhema ?
Sasa mapenzi nikitu kingine usiombe upendwe.
Mapenzi ni raha mpaka unasahau mpangilio wa siku unaweza kuuliza watu leo lini?
Kisa unasuuzika moyo ukifunga macho unaona mabusu na madimlight mekundu ya mahaba yanapita.
Kimya si kimya bali hata jforum watu wamesahau
Kisa kupendwa.
Haloo mapenzi si pesa bali upate anayekupenda mchana mwema.
Kuna usemi usemao mpende akupendaye asiyekupenda achana. Naye.
Hongera kwa kupendwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom