Wanawake siyo watu wa mchezo

Wanawake siyo watu wa mchezo

Innocent Kirumbuyo

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
4,647
Reaction score
4,495
Mwanaume anaeitwa Simon Louis (49) amekataliwa ombi lake na mpenzi wake la kumuoa Mary Emmanuella (41)ambaye ni mpenzi wake aliyempenda mpaka kuokoa maisha yake mara baada ya kujitolea figo yake kumpandikizia na kunusuru maisha yake pindi figo zake zilipofeli.

Hata hivyo Simon alipohojiwa na Mwandishi wa Metro UK alisema kuwa hajutii maamuzi yake ya kumpa figo mwanamke huyo aliyempenda hata mara baada ya kukataa ombi lake alipopona ugonjwa uliokuwa unamsumbua.

“Nilimpa moyo wangu, lakini pia nilijifikiria nikampa na figo yangu, chochote kilichotokea sijutii wala sitojutia kwa kumpa zawadi ya maisha,” amesema Simon.

Aidha Mary Emmanuella amesema ataendelea kuwa rafiki wa karibu wa Simon.

“Ni rafiki yangu sana na daima itakuwa hivyo, mapenzi kati yetu ni ya kweli, Simon angefariki kwa kile alichokifanya kwa ajili yangu,”amesema Simon

IMG_20180712_163205.jpg
 
View attachment 808031

mbona kama movie ya kanumba ile ya mwisho aloigiza na wolper?

WANAWAKE HAWAFAI JAPO SIO WOTE
 
Mapenzi ulaya Afrika mtihani sipati picha ingekuwa imetokea bongo mpaka panya ndani yahiyo nyumba ya huyo mwanamke wangelipiwa kisasi
 
Hii nayo kali kama ni kweli,sasa ukilinganisha na huku kwetu sijui ingekuwaje,mtu anaamua kujitoa roho kisa mwanamke kala 1.5 m,ingekuwa amemtolea figo sasa angefanyaje...!!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] hadi panya aisee
 
Hii nayo kali kama ni kweli,sasa ukilinganisha na huku kwetu sijui ingekuwaje,mtu anaamua kujitoa roho kisa mwanamke kala 1.5 m,ingekuwa amemtolea figo sasa angefanyaje...!!
Angeuwa kijiji chote alichotoka uyo dada
 
Ingekuwa bongo hii basi huyo mwanamke angekùwa kalazwa kwenye jengo la serikali mapema
 
Hii nayo kali kama ni kweli,sasa ukilinganisha na huku kwetu sijui ingekuwaje,mtu anaamua kujitoa roho kisa mwanamke kala 1.5 m,ingekuwa amemtolea figo sasa angefanyaje...!!

Ha ha ha Apumzike kwa amani anapostahili afande Nelly
 
Ingekuwa bongo hii basi huyo mwanamke angekùwa kalazwa kwenye jengo la serikali mapema
ujue watu huwajui doing good things does not guarantee you kuwa hautoachwa,mahusiano hata mkiachana usilalamike japo kuumia kupo furahia yale mazuri basi the man is pure,humble and classic nimempenda
 
Back
Top Bottom