Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Bila shaka muwazima wa afya! Twendeni sawa ktk mada ya leo. Kuna njia mbalimbali za kuweza kumuongezea wigo mpenzi wako ili afike kileleni na kunakitu kimoja wanawake wote husema, "kufika...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
1. Mke wangu hupenda sana niwahi kurudi nyumbani; 2. Mke wangu huwa anapenda sana kunituma tuma ; niletee hiki , nataka kile; 3. Mke wangu huwa mkali sana, hujawa na hasira muda mwingi...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
MAPENZI yanachukua nafasi kubwa katika maisha yetu. Mimi na wewe tunahitaji kuwa na wapenzi tena wenye mapenzi ya dhati ili maisha yawe ni yenye furaha na amani. Lakini wakati ukweli ukiwa hivyo...
5 Reactions
21 Replies
4K Views
Kiufupi tu,mke wangu kipenzi nimeishi nae zaidi ya miaka 5,kaamua kusikiliza wazazi wake na kufuata wanavyotaka wao,uvumilivu umenishinda imenibid kuvunja familia hii,tuna watoto wawili kila...
8 Reactions
64 Replies
5K Views
likuwa na girlfriend ambaye nlimpenda sana....nlfanya kila kitu hata kama xkuwa na uwezo nacho nlijitahd walau kdg....zawadi kwa sana...apple...chocolates na ice creams kwa saan Kiukweli nakiri...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Yaani wakati tuko mbeya alikuwa demu wangu tukiwa la saba, ila mi nikafeli ye akaenda kidato Sema bado nikawa nikipata chance napiga pampu kama ida. Mziki ni alipoenda advance ndio tukapoteana...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Naombeni maana ya huu mstari "Shangilia pamoja na mke wa ujana wako"
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Heshima wakuu.. inakuaje pale umeachana na mamsapu wako kitambo na bado yuko ndotoni kama jana vile? nimeachana na ishu yangu miaka 4 iliyopita but bado nina filingz nae mnoo.kwasasa tuko...
0 Reactions
52 Replies
9K Views
Habari, Wanawake macho mia, tamaa mbele na wapenda makuu, wazuri sana kwa burdani na kuuzia sura mjini. Kwanza wakishaona hela hawana usumbufu, kila unachosema jibu ni ndio love hata kama...
4 Reactions
96 Replies
7K Views
Ndio tulikua tumeanza mitihani ya kati ya muhula nikiwa kidatu cha tatu katika shule iliyokua na kidatu hadi cha sita. Wakati huo wanafunzi wa sekondari walikua ama wanamiili mikubwa au ni wakubwa...
4 Reactions
37 Replies
20K Views
Habari zenu wana JF, Nipo kwenye mahusiano ya kimapenzi na mdada ninaempenda lakini kila nikiomba mzigo anakataa ananitolea nje. Hata nikitoka nae out naishia tu kula denda chupi sijawai...
1 Reactions
81 Replies
7K Views
Note: a) Soma full article kuelewa mada (b) Chanzo zote za ushaidi zimeandikwa chini ya article d) Maneno ya kiingeleza yametumika kusaidia ugumu wa lugha. Asante Introduction Watanzania wengi...
3 Reactions
6 Replies
2K Views
Habari wanajamvi! Hivi wale mliosikiliza kuhusu idadi ya watu duniani huyu bi dada yuko sahihi?
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wakuu, Nimeona nivae uhusika wa kisa hichi ila sio mimi ili mnielewe... Ni hiviii... Nimechoka, nimechoka...jamani nimepata mkaka ananipenda kweli na analengo la kutaka kufunga ndoa na mimi...
2 Reactions
80 Replies
7K Views
Picha hii ilipigwa mwaka 2013 katika mbuga ya wanyama ya Maasai Mara, nchini Kenya na mpiga picha za wanyama (wildlife photographer) Alison Buttigieg, na ilishinda kuwa picha bora ya mwaka katika...
17 Reactions
33 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu, Leo natoa siri ya kambi tena kidogo. Mwanaume popote pale ulipo, usije ukapigwa biti au ukapewa vitisho na mpenzi wako ukakubali kuchepuka. Ni aibu sana na utakuwa...
18 Reactions
78 Replies
7K Views
Habar za wakati huu, Bila kupoteza muda niende moja kwa moja kwenye maada, Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,ninasoma chuo hapa Dsm, nilikuwa na mpenzi wangu ambae nampenda sana, tumekuwa...
2 Reactions
80 Replies
5K Views
Mimba inaweza kuingia kwenye one night stand, ukiwa umekewa na mkajikuta mna kuwa wazazi bila kupanga. Sasa issue inakuja pale mwanaume huyo huyo unazaa nae wawili wengine. Kwao hawakufamu...
6 Reactions
79 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…