Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
Amani iwe Pamoja Nanyi WanaJF!
Kwanza Niseme ya kwamba mimi sio Mgeni,Mzoefu wa JF karibu Miaka MiTano ila Nimelazimika Kubadili ID kwa sababu za Kiusalama na Natumai tutashirikiana Kupitia Hii ID Mpya kama tulivyoshirikiana ile ya Mwanzo!
Mimi ni Kijana, Mwenye Umri wa Miaka 24, Tall, Mwembamba Japo sio sana, Nipo Mwaka wa 3 Namalizia Yaani 2018/2019 Naingia wa 4.. Tatizo langu Kubwa ni Tatizo la Kimahusiano.. Sijawahi kuwa na Stable Relationship.. Mpaka Hapa Naandika Uzi huu sina Mwanamke..
Once Niliwahi kuwa na Stable Relationship atleast ya mwaka Mmoja ila yule mwanamke akabadilika ghafla..Nimebaki Mwenyewe sasa na kinachonisumbua ni Kutokuwa na Mahusiano Mpaka sasa..Naogopa Kurudi Mtaani sina Mwanamke wa Kutengeneza Nae malengo!
Je Lini nitatengeneza Stable Relationship? Yaani Umri gani nianze kutengeneza hio stable relationship
Nitajuaje kama aina hii ya Mwanamke inafaa Kutengeneza Stable Relationship?
Wale Wanaume Wenzangu Wenye Uzoefu Mna Mawaidha Gani kwangu?
Na Wanawake Mnanishauri vipi kwa Namna ya Kuishi na Hawa Wenzenu?..How can i know labda Napendwa?