Wanawake wa humu JF naombeni jibu la swali hili

Samboko

JF-Expert Member
Oct 30, 2011
5,417
7,731
Hili swali napenda sana kuwauliza wanawake sababu napenda majibu yao mengi yanafurahisha sana.

Swali ni hili, unafikiri kama ungekua mwanaume ni kitu gani ungefanya au ungewafanyia wanawake ambacho wanaume hawakifanyi hii namaanisha kwa upande wa mambo ya mapenzi tuu!!
Fungukeni hapa muyawazayo kama mngekua wanaume.

Nawasilisha.
 
Lakini naamini watasema ukweli.

Kusema ukweli, nilipokuwa mdogo nilitamani sana kuwa Mwanaume. Nasababu kubwa nilikuwa nasema kama ningekuwa mwanaume.... ningewabaka na kuwatia mimba wasichana wote wanaoringa ringa..... sijui akili hii ilitoka wapi..
 
Hahahaaa, asante sana Price nmecheka hadi mbavu zinaniuma.
 
Yani natamani hata sasa hivi igeuke ivyo tena Kama mie mwanamke niwe mwanaume halafu mshikaji wangu awe mwanamke atanikoma haswa mie zangu nipo busy bby nitakuchek later
 
Back
Top Bottom