Eeeh, nirudi nifanye nini kama kazi huwezi. Hata kama nimeshakula hela. Yako kiasi gani siwezi rudi na siwez endelea kutumia hela yako cz huitendei haki naona ntakuwa kama mwizi tu, wanawake...
Asaalaam alaykum naitwa Nasry natokea morogoro mjin natafuta mchumba ambaye in sha Allah atakuja kuwa mke awe muislamu anaejua dini japo kwa uchache sichagui rangi wala kabila..shukran
Habari marafiki!
Salaam toka A Town.
Miezi takribani nane iliyopita nilikutana na rafiki toka US. Rafiki huyu, kama walivyo Waamerika wengi ni easy to live with. Yupo open-minded na anampenda...
Sifa ya mwanaume ni ukakamavu, mwanaume lazima uwe na mwili mgumu, lazima hata mwilini mwako uwe na makovu kiasi ili uonekane wewe ni wakiume
Sasa kuna wakaka looh, hadi aibu, unamkuta mwili...
Habarini wadau!
Natumai mu wazima wa afya.
Hakika sijabahatika kuwa na furaha katika hizi anga za mapenzi, kila napogusa naishia kutokuwa na furaha katika mapenzi.
Kila niliyekuwa naye tunaishia...
Wapendwa,
Natafuta mwanamke wa kuanzisha naye mahusiano. Lengo ni urafiki ambao natamani uende hadi katika ndoa. Hata hivyo kama hautafikia ndoa basi nitaelewa tu. Lakini mimi niko tayari kuoa...
Habari zenu,
Naishi Dar es salaam, natafuta rafiki wa kike ambaye baadae anaweza kuwa mke wangu.
WASIFU WANGU
-Nina umri wa miaka 29.
-Nina shahada ya uongozi wa Mauzo na Masoko kutoka C.B.E...
Asikwambie mtu .kupenda visichana vidogo nikama kula nyama mbichi ukianza uwezi kuacha.
Kuna project ya single mother tulikuwa tuna fanya mwananyamala kisiwani na mchangani.
Basi bhana nyumba ya...
Wakuu salama
Mwezi wa 4 nlileta Uzi huu[emoji116] [emoji116]
Msaada: Huyu Binti kaniambia ana HIV
Sasa miezi mitatu ishafika na inakaribia minne na zile dalili za awali sijaziona hata moja...
habari za leo wakuu kama kichwa kinavyojieleza hapo juu ni kwamba mwizi anapigika hapa maeneo ya k/koo mtaa wa kongo sijajua ameiba nini kiukweli raia wana hasira sana
wanaweza hata kumuua jamaa...
Farida alikutana kimwili na Michael wakati ana ujauzito wa miezi miwili. Akamtafuta Michael warudie game Michael akamwambia hayupo amesharudi kazini. Farida akamwambia Michael ana ujauzito na yeye...
Nawasalimu sana wana MMU!
Nakiri kuwa mimi sio msimuliaji mzuri so msinihukumu jamani!
Nakuja na hiki kisa cha majirani zangu wa 4 waliofiwa na waume zao na case zao zinafanana kabisa.nitasema...
Siku moja nikiwa nimekolea ktk action iliyokuwa inaendelea ya makala kuhusu Tai Chi mlio wa msg ukasikika ktk simu yangu. Nikaichukua na kufungua, kucheki ujumbe ukasomeka; Helo mambo umeshapata...
Enzi zile ukiletewa barua ya posa hata huulizi mchumba anafanya kazi gani, mradi anatoka Dari Salama. Unawaza kuepukana na kuchota maji pamoja na kutafuta kuni.
Unawaza utakaporudi likizo wakina...
ZA mda huu mwana GT.
Niende kwenye Mada.. ukweli ndoa za siku hizi ni tofauti kabisa na za zamani. Kwa sababu zamani waoanaji walikuwa wanakutana wakiwa bado hawajui chochote na wengi Wao ndio...
Hapo vip!!
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza
Siku hizi mimi mwanamke naona sio priority kwangu, kiasi kwamba inaweza kupita hata miezi mitatu sina habari,naweza kukutana na wasichana ambao...