Mrejesho wa mgeni wangu wa JF toka mkoani

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,533
45,769
Acheni tu
Nilimsubiria Ubungo usiku kucha alifika saa saba usiku. Tumefika nyumbani saa nane akaoga akalala aligoma kula nikala mwenyewe usiku huo.

Kesho yake aliamka saa nane, tukaenda mtaani. Kutoka hapo loh sijui hata analala wapi.

Sasa shoga kama ulikuwa na wenyeji Dar ulinisumbua wa nini? Wanawake bwana! Nilimuambia kabisa kama unaenda kugegedwa usirudi tena kwangu hujui wanaume wa Dar wewe.

Nimeshangaa sana yaani .
 
Last edited by a moderator:
We umeshangaa ??
Mimi nimeona aibu maneno gani hayo ya kumwambia mtu mzima anayemiliki simu

bora ungemuhifadhi mwanaume asingeondoka maana anajua muda wowote utamtunuku
Akwende huko
 
Una ujasiri lakini.Sijui Mimi ni muoga au vipi.Mtu ambae sijawai kuonana nae ana Kwa ana aje kulala kwangu inahitaji ujasiri kidogo.
Mlijuana humu jf si ndivyo?Huyo alikua tu anataka pa kuanzia Safari Kwanza.
 
Back
Top Bottom