Umewazidi wote

Simara

JF-Expert Member
Oct 1, 2014
7,510
23,908
Mojawapo ya nyimbo nzuri sana kwa wanandoa ni hii ya Bahati Bukuku.


Chorus
Maneno yao umeyasikia maneno yao × 4

Verse

Eti wanasema hivi nilivyo sio hadhi yako
Eti wanasema kukupata wewe mimi si hadhi yako
Eti wanasema mimi nilivyo elimu yangu ndogo

Maneno yao umeyasikia maneno yao

Eti wanasema mimi sifanani kuwa na nyumba hiyo
Eti wanasema hivi nilivyo sio hadhi yako
Hawajui tulianzia wapi hawajui
Hawajui kuna siri gani hawajui
Wanapotazama majumba hayo hawajui

Hawajui mchango wangu kwako hawajui
Wanavyokutazama unavyopendeza hawajui
Hawajui hekima yangu kwako hawajui..............................
 
espy ayayaa
wanune wavimbee ayayaaaa
mimi nawe ayayaaa
mpaka ndoa ifungwee
tunapartyyy ayayayaaaa

espy umewazidi wote
Yaani umenikumbusha huo wimbo nilikuwa naupenda, na hivyo yumo kiba basi mimi kiroho kwatuuuu.

Hivi hapo huwa anatamka jina gani? Ni espy kweli?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom