amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,171
- 31,357
Wanabodi jichukulie wewe kama kijana ambaye hujafika 30 au ndo umeanza itafuta 30,uliolewa au ukaoa,kwa bahati mbaya mwenzi wako akatangulia mbele za haki,au mkaachana kwa talaka mahakamani,is it wise kwenye cv yako/wasifu wako kuandika widow/mjane au mghane au kuandika divorced/mtalaka.Hapo kumbuka wewe huna mahusiano mengine ila mbeleni InshaAllah pengine mambo yatakaa sawa.
Au ni vyema kuandika tu single.
Au ni vyema kuandika tu single.