Kule Kwetu
JF-Expert Member
- Jan 10, 2016
- 3,157
- 1,893
Habarini wadau,
Nimekuwa nikijiuliza sana hili swali kwasababu ni asilimia kubwa sana ya wanaume wanalalamikia ndoa zao. Ndoa zimekuwa na kero nyingi na mikasa ya ajabu haswa usaliti n.k ndoa ina raha gani?
Mimi naona vijana ambao hawajaoa ndio wanafaidi sana maisha,changamoto yao ni kupata ajira na pesa tu ila waliooa kwanza wana changamoto ya kupata pesa (kwajili yake ya mke wake na watoto na pengine na wazazi na wakwe)
Ambao hawajaoa wanakula bata watakavyo muda wowote bila kuulizwa na hawana stress sana kama waliooa.
Waliooa na wakajaliwa watoto wao furaha yao ipo kwenye kucheza na kuwa karibu na watoto ila mbona hata masela wana watoto pia?
Kwa dunia ya sasa na kwajinsi ndoa za sasahivi zilivyo wasiooa (masela) ndio wenye maisha mazuri.
Au watu wanaoa tu kwavile wanaamini ndoa ni agizo kutoka kwa Mungu wanaomwamini?
Hata hivyo,kuna ndoa chache sana zenye amani,furaha na kuaminiana.
Nawasilisha.