I mean huwa najiuliza hivi unapataje ujasiri wa kumtongoza mwanamke mtu mzima umri kuanzia 40+ pale unapokutana nae whether barabarani, kwenye basi, mgawahawani, dukani etc.
Kwa wale ambao...
Hii nimeambiwa na jmaa angu wa karibu kwamba hivi punde mkewe aliongeza uchamungu from nowhere ,mara anaenda masifu mara kajiunga kwayaa ilimradi hakauki church basi ,jamaa hakuhofia lolote...
Umri Wangu Miaka 23
Makazi Dar es Salaam..
Other Details Utazifahamu Once Tutakapo Wasiliana.Ukipendezewa Zaidi Kunifahamu PM Ipowazi Tutazungumza Kinagaubaga.
1-Very Selective
2-Over Confidence
3-Able to lose no matter what
4-Wanaumizwa sana ila hawajifunzi
5-Hawajali wala hawaogopi kupoteza ama kupotezewa muda
6-Wamesahau kuwa uzuri wao unakoma, kesho...
wakuu naomba muongozo katika swala hili,
Kuna jamaa yangu mmoja ana date na mdada fulani ambaye ana rafiki yake wa kike ambaye huwa wanampa kolabo wakiwa faragha, yaani nilikua nasikia tu haya...
So enzi hizo zamani...
Nilikuwa na mdada mmoja nilimpataga Instagram. Alikua anapost picha picha nzuri nikamuelewa. Ana nywele ndefu kidogo, nzuri na nyeusi. basi tukachat kwa muda kidogo hadi...
Ni jioni yapata saa kumi na mbili kijana mtanashati,mkarimu,mwenye mvuto wa sura hata mwili kwani amejijenga mwili mithiri ya yule mwanamieleka wa marekani(wwe)john cena,si mwingine ni Abdul...
Wazazi nawashauri kama mzazi mwenzenu kuweni na tabia ya kukemea tabia ya watu kumuita binti yako jina la mchumba kwa kuwa linachochea kwa kiasi kikubwa mtoto kuharibika mapema
Mimi binafsi...
Wakuu mi wigi bhana linanikata stimu kwenye sita kwa sita.Nikipapasa nahisi kama nimeshika maplastiki au nafanya romance na mdoli.
Hasa pale mnaangaliana macho halafu unaona ile sehemu ya kati...
sababu kubwa wanaume wanalia katika mapenzi ni kwa sababu mwanamke anakuwa amepata mwingine bora kuliko wewe!
na bora zaidi ni yule mwenye mkwanja kuliko wewe, maana yake wanawake wa kisasa...
Wakuu za siku nyingi,
Mi nina raha sana baada ya JF kurudi.
Twende kwenye mada.
Nina shoga yangu amekuwa na umri mkubwa kama 30 hivi...ila amegoma kuolewa.
Eti anadai kuwa mume wa mtu aliyeko...
STORY FUPI INAYOFUNZA SANA Miaka 10 ya ndoa yetu siku
moja niliingia
nyumbani nikamkuta mke
wangu akiniandalia
chakula cha usiku. Nilimshika
mkono na kumwambia: “Nina jambo
ninalotaka
kukueleza.”...
Wasifu
Mimi nikijana wa miaka 25-30 (Dume/rijali)
Mkazi wa Dar es salaam
Elimu ni shahada ya usimamizi wa fedha na biashara
Natafuta mwenza wa kujifunza nae mambo mbali mbali ya mahusiano kama...