moto wa maji
JF-Expert Member
- Mar 25, 2016
- 4,080
- 2,884
Nakupenda sana mpenzi wangu nakuomba univumilie bado natafuta sana nipe muda mambo yatakua sawa.....mwambie mpenzi wako akuvumilie
mwambie mkuu.Duh!
Sina best na bado sijapata na jf. Wamenikalia kuweka tangazomwambie mkuu.
tangazo la nini,?Sina best na bado sijapata na jf. Wamenikalia kuweka tangazo
maana yako mkuu?
La kutafutatangazo la nini,?
kwani nimesema sina kitu mkuu?hongera kwa kupata ukiwa huna kitu si tunatafuta kwanzaa....
sasa unatafuta nn..kiongozii?kwani nimesema sina kitu mkuu?
pesa huwa hazitoshi mkuusasa unatafuta nn..kiongozii?
kuchapwa sio shida ila asiniacheMwache aolewe au achapwe na wengine.ukizipata utachukua wengine
MKE huyo haiitajiki kumwambia avumilie kwa sababu alikukuta unazo japokuwa sio za kutoshaa kma alikua anataka nyingii angetutafutaa wenye nyingiii...pesa huwa hazitoshi mkuu
hahahahajajaUmenikumbusha wimbo wa Baraka Da Prince; nivumilie