Ryzen
JF-Expert Member
- Dec 6, 2012
- 7,312
- 8,754
sababu kubwa wanaume wanalia katika mapenzi ni kwa sababu mwanamke anakuwa amepata mwingine bora kuliko wewe!
na bora zaidi ni yule mwenye mkwanja kuliko wewe, maana yake wanawake wa kisasa mwenye mkwanja hawaezi mchomolea!
sasa embu fanya kutafuta pesa uzipate kwa wingi utapata hizi faida
1.Utapata Mwanamke yeyote unayemtaka bila kutumia Nguvu nyingi maana mwanamke haezi mchomolea ninja anayetembelea Range au V8 n.k
2.Unaeza wabadili ka vyupi, pesa si ipo? ndio utawaacha tu mara utapowachoka na sio kuachwa wewe.
3.kwa kuwa unajua kakupendea Pesa au Mafanikio yako wewe unakuwa hauna yale mapenzi ya dhati so wewe mapenzi hayakuendeshi.
4. unaeza ku concetrate na kazi vizuri maana mapenzi hayana nafasi kwako na pangilia vipaumbele vyako ivi
i)kazi yako
ii)Pesa
iii)Mpenzi/Mke
Mimi nimejaribu it works very fine, na baadae nikagundua kuwa baadhi yao wenye akili wanatukwepa maana nahisi wanafikiri kwamba akiwa na mwanaume mwenye Mafanikio yeye hatakuwa na Nafasi kubwa!
Maneno Yangu Sio Sheria!