Does real love even exist?

xtaper

JF-Expert Member
Feb 22, 2015
3,320
4,696
Re: heading above.
20180803_184229.jpg
 
Yapo sana,kuumizwa au kukutana na mtu ambae amekutumia vibaya haimaanishi kuwa hutompata mwenye mapenzi ya kweli..
xtaper take ur time dia,one day u will meet the lover of ur life,open your heart usibebe machungu ya kuumizwa
 
Kwa nyie wanaume wa siku hizi ni ngumu kuwa na mapenzi ya kweli hamna shughuli kabisa,lazima mtu ukatafute shughuli kwingine
 
Back
Top Bottom