Herymiller
JF-Expert Member
- Jul 8, 2018
- 612
- 861
wakuu naomba muongozo katika swala hili,
Kuna jamaa yangu mmoja ana date na mdada fulani ambaye ana rafiki yake wa kike ambaye huwa wanampa kolabo wakiwa faragha, yaani nilikua nasikia tu haya mambo ya threesome lakini sasa nimejionea ushuhuda jamaa wanaenjoy and they don't care.
Je kuna wanaume ambao wanashea mwanamke mmoja at the sametime na mwanamke anaridhia mwenyewe!
Tena wenyewe wanaiisifia kwamba inakufanya usiwe na wivu tena inapendeza ukimshirikisha your best friends ila sio kwa kulazimisha.
Yaan kwa mfano mke wako anakuja na shoti ake anasema leo unatakiwa kuwatafuna wote
Au mume anakuja na mtu wake wa nguvu mnakula tunda kwa pamoja, ila kwa mahusioano ambayo hayaja komaa wanasema inazingua kama boyfriend na girlfriends
Je hiii imekaaje wadau wa MMU