Tukio gani limewahi kukushusha Stimu? Je uliacha?

Tukio gani limewahi kukushusha Stimu? Je uliacha?

PetCash

JF-Expert Member
Joined
Mar 20, 2012
Posts
1,995
Reaction score
2,017
So enzi hizo zamani...
Nilikuwa na mdada mmoja nilimpataga Instagram. Alikua anapost picha picha nzuri nikamuelewa. Ana nywele ndefu kidogo, nzuri na nyeusi. basi tukachat kwa muda kidogo hadi tukazoeana na kukutana nakadhalika.
Sasa siku ya tukio (if yu no yu no), kaja amependeza kweli kweli. Basi ikabidi tuende kwene hotel expensive kidogo. Basi baada ya taratibu zote kuzingatiwa ukaja wakati muafaka. Dada baada ya kuvuana nguo hii na ile bana akaamua kuvua wigi. Lahaula! yani taswira niliyokua nayo ya kichwa chake ikabadilika gafla (Si mbaya lakini) ila sasa nywele zilikua vuguvugu hadi stimu zikashuka kabisa yani.
ILa hakuachwa mtu 😉
Toka cku hiyo kiukweli mi sipendi kabisa kuona mtu tuliye naye intimate anavaa wigi, ndani kunaficha mengi sana.
We yalishakukuta yapi?
 
Pale tanga kuna mmaza wa gesti ( yeye ndo msimamizi) niliofikia nilimpa mpaka shikamoo wakati nafika nilionesha kumuheshimu jioni nimerudi zangu nataka nipumzike alichukua namba yangu kwenye kitabu cha wageni akatuma message KAMA UKO MWENYEWE USIKU NIITE TU NIJE KUKUPA KAMPANI NTAKUPA ULE KOTE KOTE UTANIPA HELA KIDOGO TU YA KUNUNUA SABUNI YA KUOGEA ASUBUI mzuka ulikata sikujua hata nimjibu nini ni kama mama yangu mzaz ivi nikajikausha kama sijaona message nikajifanya nimelala akaja kigonga ameshika babycare akaniambia kwa mdomo alichoandika kwenye message nikamwambia Kuna dem anakuja kulala na mimi ye ntamchukua kesho..... kesho yake ndo nilikua naondoka zangu kurudi dar
 
hii ilikua noma zaidi ya noma, genye zilijaa kinyama mnara unasoma 4.5G matata sana, nikaona isiwe shida nikashuka kwa wahaya m/nyamala mida ya saa moko jioni

moja moja mpaka room 6, kipindi icho ni buku 4/ score nikalipa, nikavua trauza, ile ye anavua tu, *****, kama paka amekufa, chumba kizima kikajaa harufu ya uozo, nzi kila pahala

nikasamee ile buku 4 nikala kona, nakumbuka siku gegeda ndani ya mwaka mzima maana nikiikumbuka ile harufu, stim INAKATA
 
Pale tanga kuna mmaza wa gesti ( yeye ndo msimamizi) niliofikia nilimpa mpaka shikamoo wakati nafika nilionesha kumuheshimu jioni nimerudi zangu nataka nipumzike alichukua namba yangu kwenye kitabu cha wageni akatuma message KAMA UKO MWENYEWE USIKU NIITE TU NIJE KUKUPA KAMPANI NTAKUPA ULE KOTE KOTE UTANIPA HELA KIDOGO TU YA KUNUNUA SABUNI YA KUOGEA ASUBUI mzuka ulikata sikujua hata nimjibu nini ni kama mama yangu mzaz ivi nikajikausha kama sijaona message nikajifanya nimelala akaja kigonga ameshika babycare akaniambia kwa mdomo alichoandika kwenye message nikamwambia Kuna dem anakuja kulala na mimi ye ntamchukua kesho..... kesho yake ndo nilikua naondoka zangu kurudi dar
hukua na nye.ge wewe
 
So ww tu tatizo huwa linakuja moja kile unacho kiona kwa nje ukija kukiona live unaweza hata kulia mana unaona wezele akivua aaaa wezele halipo kifua unaona saa sita oooo kumbe kifua kanyonyesha mtaa mzima unaweza hata mpiga kofi
 
kwangu hakuna cha stimu wala bibi ake stimu..
nkiwa na mi-nye-ge angu naangusha popote ht kwenye mzoga
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wee jamaa umenichekesha balaa....
 
So ww tu tatizo huwa linakuja moja kile unacho kiona kwa nje ukija kukiona live unaweza hata kulia mana unaona wezele akivua aaaa wezele halipo kifua unaona saa sita oooo kumbe kifua kanyonyesha mtaa mzima unaweza hata mpiga kofi
hahahahahaa
 
Mademu wa insta wote ni wazuri uhalisia umebaki Facebook tu.
 
Back
Top Bottom