Wazazi kuweni na tabia ya kukemea ujinga huu

brigedia mafia

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2016
Posts
2,260
Reaction score
2,280
Wazazi nawashauri kama mzazi mwenzenu kuweni na tabia ya kukemea tabia ya watu kumuita binti yako jina la mchumba kwa kuwa linachochea kwa kiasi kikubwa mtoto kuharibika mapema

Mimi binafsi nishawahi kumchapa makofi hadharani jirani yangu kwa kumtania binti yangu mchumba

Sitaki kabisa kuusikia huu ujinga kwa kuwa ndio chanzo cha mtoto kujifundisha mambo ya kikubwa mapema kwa kuwa atataka kujua nini maana ya uchumba na wachumba huwa wanafanya nini wakikutana faragha

Pia sio kumuita mchumba tu pia hata kumkiss binti yangu sitaki kabisa kuona la sivyo jiandae kupewa kilema cha maisha maana mkong'oto nitakaokupa si wa kitoto

Nayasema yote haya kwa kuwa nishawahi kuona mtoto wa jirani yangu akiharibiwa na fundi viatu kimasihara masihara tu

Mwanzoni alianza kama utani kwa kumuita binti mchumba na kumpa vizawadi vya hapa na pale kumbe bhana alikuwa na lake moyoni ,mwisho wa siku ndo hivyo kamuharibu binti wa watu

Sasa wandugu chonde chonde nawaomba msiruhusu huu ujinga uendelee ,tena utakuta wale wamama wa uswahilini wakiwafundisha watoto wao kukatika na kumwaga radhi huku wenyewe wakifurahia tu

Mimi binafsi nishamkatazaga binti yangu kukatika na nikimuona huwa namtandika haswa ,nashukuru Mungu kanyooka hafanyi huu ujinga

Mwisho kabisa napenda kuwaambia wazazi wote msipende tabia ya kuwavalisha binti zenu vinguo vifupi vifupi kwa kuwa watazoea na itakuwa ngumu kwao kuacha wakifika ukubwani
 
Ni kweli kabisaa hiyo tabia si nzuri hata kidogo leo tu nimetoka kumkemea mvulana 1 hivi alikua ananikumbatia kibinti cha darasa la 5 akikubusu nikamwambia kama masikhara acha hiyo tabia si nzur hata kidogo
 
Wazazi nawashauri kama mzazi mwenzenu kuweni na tabia ya kukemea tabia ya watu kumuita binti yako jina la mchumba kwa kuwa linachochea kwa kiasi kikubwa mtoto kuharibika mapema

Mimi binafsi nishawahi kumchapa hadharani makofi jirani yangu kwa kumtania binti yangu mchumba

Sitaki kabisa kuusikia huu ujinga kwa kuwa ndio chanzo cha mtoto kujifundisha mambo ya kikubwa mapema kwa kuwa atataka kujua nini maana ya uchumba na wachumba huwa wanafanya nini wakikutana faragha

Pia sio kumuita mchumba tu pia hata kumkiss binti yangu sitaki kabisa kuona la sivyo jiandae kupewa kilema cha maisha maana mkong'oto nitakaokupa si wa kitoto

Nayasema yote haya kwa kuwa nishawahi kuona mtoto wa jirani yangu akiharibiwa na fundi viatu kimasihara masihara tu

Mwanzoni alianza kama utani kwa kumuita binti mchumba na kumpa vizawadi vya hapa na pale kumbe bhana alikuwa na lake moyoni ,mwisho wa siku ndo hivyo kamuharibu binti wa watu

Sasa wandugu chonde chonde nawaomba msiruhusu huu ujinga uendelee ,tena utakuta wale wamama wa uswahilini wakiwafundisha watoto wao kukatika na kumwaga radhi huku wenyewe wakifurahia tu

Mimi binafsi nishamkatazaga binti yangu kukatika na nikimuona huwa namtandika haswa ,nashukuru Mungu kanyooka hafanyi huu ujinga

Mwisho kabisa napenda kuwaambia wazazi wote msipende tabia ya kuwavalisha binti zenu vinguo vifupi vifupi kwa kuwa watazoea na itakuwa ngumu kwao kuacha wakifika ukubwani
Naunga mkono hoja
 
Kwa kweli haipendezi.

Wengine anakaona kabinti hakana hata Maziwa, utaona Jitu zima linatomasa tomasa chuchu za Mtoto, na kufanya utani mwingi.

Kuna watu wa ajabu sana
tena cha ajabu mkuu unaweza kuta mzazi wa huyo mtoto yupo pembeni tu anaangalia
 
Ni kweli tupu uliyoyaandika mkuu.
Ni bora kumlea mtoto katika maadili hata akibadilika huko ukubwani lakini umetimiza wajibu wako kama mzazi kuliko kumchekea mtoto akaja kuharibika mana atakuja kulaumu kuwa mzazi wangu hakuwa akinikanya au kunilea katika malezi mema.
 
Wazazi nawashauri kama mzazi mwenzenu kuweni na tabia ya kukemea tabia ya watu kumuita binti yako jina la mchumba kwa kuwa linachochea kwa kiasi kikubwa mtoto kuharibika mapema

Mimi binafsi nishawahi kumchapa makofi hadharani jirani yangu kwa kumtania binti yangu mchumba

Sitaki kabisa kuusikia huu ujinga kwa kuwa ndio chanzo cha mtoto kujifundisha mambo ya kikubwa mapema kwa kuwa atataka kujua nini maana ya uchumba na wachumba huwa wanafanya nini wakikutana faragha

Pia sio kumuita mchumba tu pia hata kumkiss binti yangu sitaki kabisa kuona la sivyo jiandae kupewa kilema cha maisha maana mkong'oto nitakaokupa si wa kitoto

Nayasema yote haya kwa kuwa nishawahi kuona mtoto wa jirani yangu akiharibiwa na fundi viatu kimasihara masihara tu

Mwanzoni alianza kama utani kwa kumuita binti mchumba na kumpa vizawadi vya hapa na pale kumbe bhana alikuwa na lake moyoni ,mwisho wa siku ndo hivyo kamuharibu binti wa watu

Sasa wandugu chonde chonde nawaomba msiruhusu huu ujinga uendelee ,tena utakuta wale wamama wa uswahilini wakiwafundisha watoto wao kukatika na kumwaga radhi huku wenyewe wakifurahia tu

Mimi binafsi nishamkatazaga binti yangu kukatika na nikimuona huwa namtandika haswa ,nashukuru Mungu kanyooka hafanyi huu ujinga

Mwisho kabisa napenda kuwaambia wazazi wote msipende tabia ya kuwavalisha binti zenu vinguo vifupi vifupi kwa kuwa watazoea na itakuwa ngumu kwao kuacha wakifika ukubwani
Mi napita tu
Lakini kumbuka mtoto wa kike
Hachungwi bali hujichunga mwenyewe

Dunia ya sasa, karne ya sasa
Sio kama unavyofikiri
Watu wamebadilika kwq kiasi kikubwa mno, kumchapa mtoto kuwa asifanye kitu Fulani haijamsaidia koz hujui anapoenda lazima ibilisi atamuingia na kutaka kujaribu kitu ulichomkataza.

Just mwambie normal mpe faida na hasara za mambo kadhaa.

Ila kiukweli mtoto wa kike hachungwi.
Bali hujichunga mwenyewe
[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
 
Ni kweli tupu uliyoyaandika mkuu.
Ni bora kumlea mtoto katika maadili hata akibadilika huko ukubwani lakini umetimiza wajibu wako kama mzazi kuliko kumchekea mtoto akaja kuharibika mana atakuja kulaumu kuwa mzazi wangu hakuwa akinikanya au kunilea katika malezi mema.
Haswaa
 
Mi napita tu
Lakini kumbuka mtoto wa kike
Hachungwi bali hujichunga mwenyewe

Dunia ya sasa, karne ya sasa
Sio kama unavyofikiri
Watu wamebadilika kwq kiasi kikubwa mno, kumchapa mtoto kuwa asifanye kitu Fulani haijamsaidia koz hujui anapoenda lazima ibilisi atamuingia na kutaka kujaribu kitu ulichomkataza.

Just mwambie normal mpe faida na hasara za mambo kadhaa.

Ila kiukweli mtoto wa kike hachungwi.
Bali hujichunga mwenyewe
[emoji16] [emoji16] [emoji95] [emoji95] [emoji379]
Labda hukumpata vizuri mleta mada.

Ni hivi, hapa anazungumziwa Mtoto wa Kike ambae hajapevuka kiakili.

Kwakuwa ni rahisi sana, kubadilishwa akili.

Inachotakiwa, ukiwa wewe kama Mzazi ni kujaribu kadri uwezavyo kumuandalia mazingira ya maadili mema, hata hapo baadae atakapokua, na akabadilika hiyo ni juu yake. Lakini alipokuwa kwako wewe ukiwa kama Mzazi wa Mtoto ulikuwa nae makini sana.

Mtoto anafundishika, hasikudanganye Mtu
 
Back
Top Bottom