Wanawake wanaume wakiwatoa out Zingatia haya

Wanawake wanaume wakiwatoa out Zingatia haya

Brodre

JF-Expert Member
Joined
Aug 23, 2012
Posts
2,587
Reaction score
1,858
Kisa cha ukweli kimetokea sahivi mwanamke kajikuta anaolewa bila kupenda...

Story iko hivi jamaa kaja na mwanamke Bar wamekunywa kunywa walivomaliza jamaa kaaga anaenda toa pesa Mpesa kumbe ndio bi dada kaachwa hivyo na Bill yote na mkobani hana kitu.

Imebidi msamalia mwema ajitokeze kulipa na kumuomba bidada waendelee kunywa.....
 
Mimi huwa natembea na mkwanja kabisaa ila lazima nikuweke kwenye kitabu cha kisasi baadae nitakwambia u
Umekimbia mbn mm nilikuwa na hela nimelipa ungesema tu ili uingie kingi nikujambisheeee
 
Mambo ya kivulana hayo, mwanaume hawezi fanya huo utoto kwani alilazimishwa kumtoa out
Kuna wababa wana hizo tabia kabisaaa nakumbuka mmoja zaman hizo tulitoka out tukala vizur tukalala hotel asubuhi akajifanya naenda mara moja ofisini nitakuja akasepa mazima sema nilkuwa namuheshimu nikampotezea tu nikaona mpumbavu mmoja hiviii
 
Si ndio hao nikasema ni wavulana, tafsiri yake ni kwamba anakuwa kakuwa miaka(umri) tu lakini akili za kivulana bado. Mwanaume timamu hafanyi hivo hata siku moja.
 
Kuna wababa wana hizo tabia kabisaaa nakumbuka mmoja zaman hizo tulitoka out tukala vizur tukalala hotel asubuhi akajifanya naenda mara moja ofisini nitakuja akasepa mazima sema nilkuwa namuheshimu nikampotezea tu nikaona mpumbavu mmoja hiviii
Kwahiyo ukakopwa k wii??
 
Nakumbuka rafiki yetu mmoja alituita sehemu enzi hizo. Wao walianza kunywa mapema mpaka muda nafika washalewa siku mingiii. Sasa mmoja mwenye afadhali akasema anampeleka mwenzie home anarudi. Hakurudi tena. Na bill ilikua kama 200k na sisi na shoga angu tukajichanga tukawa na 180 tu. Cha kufanya nikawaachia simu yangu tukarudi home. Kesho yake wakaenda kulipa wakaniletea simu yangu na hela zetu wakaturudishia
 
Kwanza unamkimbia mtu kwa kuwa huna hela au inakuaje? kwanini usimpeleke mtu sehemu ya uwezo wako?
Unajua kuna ile mtu kutaka aonekane anaweza hata kama uhalisia wake sio kweli matokeo yake inakuwa ovyoo
 
Nakuumbuka nilikuwa still young means 19-20 sasa tuliienda bar na friends tukanywa bia nyama yaani tulizikunywa nayale mavitu mazuri sana tulikuwa wengi sio wachache like 10 sasa wavulana walidhani tunamkwanja na sisi walivyotuita tulizani walikuwa na mkwanja so bili ikaja ni mkwanja wa kutosha kiasi cha kutisha .
tukaanza kuangaliana sisi tunawacheck boys boys wanatucheck siye saangapi wakaitwa mabaunsa waje watutoe nguo na viatu micheni.
ila uzuri wakuzaliwa kimobitel niliingia chini kwa meza nakutoka bila ya wao kujua nakuomba help kwa brother wa mshikaji akaja kututoa kwa shida akalipa deni lote.
halafu baada ya hapo tukapewa adhabu yakutembea home bila viatu huyo bro aliviweka kwa gari na tukaanza tembea mpaka home kwa huyo bro.
asubuhi no breakfast nitulimfanyia usafi wa kila mahali na hiyo ilikuwa ni promise hadi mwezi uishe ila nikikumbuka hadi leo.
ninachekaga sana coz ilikuwa aibu na pia tulikuwa tunajiona the way tunavyoita mabamed kwa nyodo kumbe ni zero.
acha tuuu ilikuwa night ya gundu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom