muhala.jr
JF-Expert Member
- Jul 25, 2014
- 751
- 659
Guys kwa utafiti wangu mdogo niliofanya nimeanza kuona dalil za kuongezak kwa wadada wanaopeana utam wao kwa wao...wenye watoto with a kike jutahid sana kuwapa elimu juu ya maswala haya.madada wengi mjin siku izi wanajichua wao kwa wao...ndo mana hata siku ukikutana nae yey anaona Kama unamtania tania ...