Natafuta baba watoto

Miss Natafuta

JF-Expert Member
Sep 16, 2015
25,554
45,858
Natafuta mwanaume wa kula nae uzee miaka 38 na kuendelea, vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue.

Usiwe umepeana talaka na mkeo.

Au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki.

Uwe mtu mzima mwenye kujitambua.

Uwe unaishi DSM mahusiano ya mbalimbali sitaki kama kawaida hakuna.

Kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto.

Ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka uwe tayari kupima ngoma sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.

Email missnatafuta2017@gmail.com
Mwisho wa maombi ni week mbili toka leo
 
mtu mzima ni kuanzia miaka mingapi kwani miss

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
Mimi Niko tayari nataka mtoto na familia welcome

Sent from my TECNO-J8 using JamiiForums mobile app
 
Vigezo vya umri tafadhal,dadavua vizur hapo tujue kama tunaweza pata fursa hiyo

Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
 
natafuta mwanaume wa kula nae uzee
miaka 38 na kuendelea.vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue
usiwe umepeana talaka na mkeo ,au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki

uwe mtu mzima mwenye kujitambua
uwe unaishi dsm mahusiano ya mbalimbali sitaki.
kama kawaida hakuna kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto .ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka
uwe tayari kupima ngoma
sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
email missnatafuta2017@gmail.com
mwisho wa maombi ni week mbili toka leo

Naomba nikufwate PM kama kigezo cha umri na udaresalama havitazingatiwa
 
natafuta mwanaume wa kula nae uzee
miaka 38 na kuendelea.vijana vijana hawa sina muda wa kupeana stress so usijisumbue
usiwe umepeana talaka na mkeo ,au mmefarakana kwa njia yoyote labda awe amefariki

uwe mtu mzima mwenye kujitambua
uwe unaishi dsm mahusiano ya mbalimbali sitaki.
kama kawaida hakuna kungonoka ila mwezi wa tisa tutaanza kutafuta mtoto .ndoa sio harusi tutafunga hata ya mkeka
uwe tayari kupima ngoma
sina masharti mengi kwa hapa nitachambua huko huko mbele ya safari.
email missnatafuta2017@gmail.com
mwisho wa maombi ni week mbili toka leo
Me nlishakuombaga n mpk leo kimya.... Dohh! Iv ungekua ndo ww nimekufanyia ivo n unahitaj, ungejckiaje?.... Haupo fair kbsa

Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom