Jifunze kusamehe kutoka moyoni

Jifunze kusamehe kutoka moyoni

muhala.jr

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2014
Posts
751
Reaction score
659
TUJIFUNZE KUSAMEHEANA PALE TUNAPOKOSEANA KAMA WAPENZI, KUMUACHA MWENZI WAKO KWASABABU YA MAKOSA YAKE NI KUMFUNDISHA AKAWE MKE/MUME MZURI UKO ANAKOENDA, NA WEWE UTABAKI UNAHANGAIKA KUMSHAPE MWENZI MPYA WAKATI ULISHAPIGA HATUA FULANI KWA YULE WA KWANZA.
 
Namrekebisha wa kwangu mkuu kwa makosa yake.

I hope atakuwa mwanamke bora zaidi ya jana, na nitamfurahia.
 
TUJIFUNZE KUSAMEHEANA PALE TUNAPOKOSEANA KAMA WAPENZI, KUMUACHA MWENZI WAKO KWASABABU YA MAKOSA YAKE NI KUMFUNDISHA AKAWE MKE/MUME MZURI UKO ANAKOENDA, NA WEWE UTABAKI UNAHANGAIKA KUMSHAPE MWENZI MPYA WAKATI ULISHAPIGA HATUA FULANI KWA YULE WA KWANZA.
Naunga mkono hoja
 
kusamehe ni saikolojia ya mtu sivyo unavyodhani,wapo wanaoweza kusamehe na kusahau na wapo wanaosamehe lkn hawasahau.
 
kusamehe ni saikolojia ya mtu sivyo unavyodhani,wapo wanaoweza kusamehe na kusahau na wapo wanaosamehe lkn hawasahau.
Ndo mana nikasema jifunze kusamehe
 
Aysee nilipata mwanamke kichwa ngumu aysee ilibidi niwe mpore maana dah! Sijui ndo ukishakua na elimu ndo ubishi unavyozidi kuongezeka


Maana kila utakacho mwambia lazima abishe, sasa kwa MTU wa hivyo wa nini tusumbuane kichwa piga chini akajirekebishe mbele mi nilishindwa
 
Back
Top Bottom