Mimi ni kijana wa miaka 26 ni muhitimu wa chuo, nimejiajiri natafuta msichana aliyeserious katika mahusiano,
Vigezo. mcha mungu, bila kujali ni msichana au single mother ili mradi awe mcha...
Habari za muda huu wanajamvi.
Mimi nina mke na watoto wawili saiv, nina umri wa miaka 35 na mke wangu ana umri wa miaka 30 kwa sasa.
Mwaka jana nilipata scolarship ya kwenda nje ya nchi (ulaya)...
Korokoroni/Mlinzi mmoja alikuwa ana tabia ya kumtafuna mke wa mtu kiroho mbaya kila asubuhi akitokea lindoni. Mume wa huyo mama alikuwa kila asubuhi huenda kazini na kumwacha mke wake ambaye ni...
Habarin za jion wapendwa
Naomben mnisaidie mawazo
Ninamchumba wangu tuna mwaka na nusu tumeshamaliza taratibu zote mpaka mahari ameshatoa....mwanzo tulipanga tufunge ndoa mwezi wa 10nimekaaa...
Pindi mwanaume anapofumania mkewe au kuhisi anamahusiano nje ya ndoa zipo hatua mbalimbali aambazo baadhi ya wanaume wamechukua hapa ni chache tuu unaweza ongeza za kwako: a) alipofumania...
Habari ya Asubuhi Wadau, Hongereni Na Poleni kwa Mihangaiko. Niende kwenye Mada Yangu Moja Kwa Moja, Nina Mpenzi Wangu Ambae tupo Kwenye Mahusiano kama Mwaka Mmoja Na Miezi Mitatu, Nampenda...
Naleta uzi huu kwenu wakuu naomba mnisaidie.
Mimi nilimpenda binti mmoja hapa Dar es Salaam nikataka kumuoa ikabidi nifuate taratibu zote kama kawaida lakini mahari mzee baba milion 5 nami naishi...
Ujira wa usaliti ni aibu kubwa! Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Baba Anorld almaarufu Ngosha, amedai kumfumania laivu mkewe, Anjela Mama Anorld akiwa chumbani na shemeji yake aliyetajwa kwa...
Salaam zenu wana jamvi, mama mmoja mwenye rangi ya kimanga ahonga uroda kituo cha polisi baada ya mwanae kufanya tukio. Mwanae huyo alliba mbuzi wa Eid na wahuni wakamtia mkononi alimanusra wa...
Ebwana leo katika pitapita zangu asubuhi nikielekea kwenye kitengo changu cha kutafta rizki ghafla nkamuona mtoto mkalii body hiloo anakuja kwa mbele.
Mtu mzima nikajipanga kwa mashambulizi mara...
acha kujitia tia basi utazani duniani yko mmoja. Acha kupoteza mda tembea mbele tafuta mwingine mlishindwa nini sasa ndio mtawezana? au amebadilika nn ni yule yule hawez badikika hyo
Hivi Karibuni (nearly two weeks back) nimeanza kuwa 'nasoma soma' Biblia kimtindo ili tu kujifunza maandiko yanaagiza/yanasema nini. Ofkoz I am not knowledgeable na mambo za Maandiko, just to say...
Habari wakuu,kuna jambo limenitatiza japo kwa wengine inaweza kuwa rahisi kulingana na asili ya mazingira waliokulia.Kwa ufupi nina mchumba tumeahidia kuishi pamoja hapo baadae,tatizo limekuja...
Heshma kwenu wakuu
Kama kichwa kinavyojiekeza .rafiki yangu amenishangaza sana huu ni mwezi kama watatu ananambia anataka azae na kichaa.Nashindwa kumuelewa anania gani .
Kwa kuuliza wakuu...
Hello MMU,
Tafadhali husika na heading hapo juu
Iko hivi, kitabibu stress is number one cause of most human tragedy including death.
Stress husababisha magonjwa ya moyo, pressure, kisukari...
Zamani majina ya kilugha yalikuwa ni commonplace, ndo maana watu wengi middle name na surname zao ni majina ya kilugha. Ila kadri siku zinavoenda, kutokana na utandawazi na mambo mengine, trend ya...
Pindi mwanaume anapofumania mkewe au kuhisi anamahusiano nje ya ndoa zipo hatua mbalimbali aambazo baadhi ya wanaume wamechukua hapa ni chache tuu unaweza ongeza za kwako: a) alipofumania...
Ilikuwa mwaka 2013 ndo kwanza nimemaliza form 4 shule ya kata.
Nikaenda zangu Malawi apo mzuzu wabongo tunapendwa sana Malawi.
Basi nikajipatia kimwana, ukimwambia chachani pa bed fastar unapewa...