Hii inamhusu yule aliewahi kupost kuwa anatafuta na hatimaye akapata Mke/Mume/Mchumba kupitia jukwaa hili.
Share angalau kwa ufupi changamoto ulizokumbana nazo ktk huo mchakato hadi ukafanikiwa...
Salama wanajukwaa?
Kama mada inavyojieleza
Hili suala limekaaje kaaje,
Je, ni sahihi kumnyang'anya vitu ulivyompatia mwanamke wakati upo kwenye mahusiano nae?
Mfano ulijenga/kununua nyumba kwa...
Wasalaam,
Nimewaza sana juu ya tabia ya baadhi ya Wanaume kusababisha mimba na kukataa kulea na kupotea kusikojulika.Binafsi hii kitu nimekuwa naitafakari sana,inakuwaje umecheza faulo zako halafu...
Mimi ni mvulana wa miaka 30
Elimu yangu degree
Kazi mjasiliamari
Nakoishi mbeya
Nataka mwanamke wa kumuoa
Awe anasari
Awe na umri kuanzia miaka 24 na kuendelea, awe mfanyakaz au ata asipokuwa...
Binafsi naiona kama ni kauli ambayo hutolewa na Wanawake ili kujitetea au kutetea
na kufunika uovu wao wa kuzaa na mwanaume mwingine wakati yupo ndani ya ndoa
au mahusiano yanayotambulika Rasmi...
...Habari!
Mwezi wa 4, siku moja usiku wa saa nne nilipigiwa simu na mke wa mwanakwaya mmoja akidai mumewe kakamatwa na homa nikamuone. Basi nikapaki thermometer, rapid malaria test na Paracetamol...
Miaka ya karibuni kulikuwepo na ugawaji wa net za bure.
Baadhi ya wazee walizilalamikia hizo neti kuwa zaleta upungufu wa nguvu za kiume japo hazikuwadhuru.
Sa hivi vijana wengi wana matatizo ya...
Nina hitaji mchumba ambaye atakua serious na relationship ili awe mke wangu. Elimu yangu ni bachelor degree shughuli zangu nazifanyia Morogoro na Dar.
Sifa za mke awe na elimu japo form four na...
Kitambo kidogo .Nafiki home baada ya kutoka umbali wa 10km .usafiri nilio kuwa Na tumia ni baskel aina ya fonex.
Nilibeba mzingo wa 120kg . Nikiwa njiani mvua ilinyenya kidogo ivo mataili ya lijaa...
Siku zote tunasikia kuhusu watu waliokuwa kwenye mahusiano muda mrefu, for years hata 10+ years nakuendelea. Leo tuangalie short term relationships, unakuta mtu baada ya wiki au miezi kadhaa...
Nyimbo kuchuja au kukuchosha kusikiliza ni jambo la kawaida, lakini kuna nyingine hata uisikilize mara ngapi, haikuchoshi ku-give it another listen.
So ni nyimbo gani inayohusu...
Kutoka mtandaoni
Si umewahi kusikia falsafa ya Wahenga kwamba, ‘Uzuri wa mwanamke ni tabia, sio urembo?’ Basi nakushauri ishia kuisikia hivyo hivyo, usije ukaamini, na zaidi ukataka uifanye kazi...
Habari za siku mdau..,Nilikuwa na mpenzi wangu tuliodumu zaidi ya Mwaka1 lakini mpenzi wangu huyo alinificha kuwa ana mimba ya mtu mwingine hivi majuzi nikaja kugundua na kuamua kuvunja uhusiano...
Ukitaka kujua mwanamke sio ndugu yako soma hii hapa upate undani.
Jamaa karudi toka job mpole!
MKE: vipi leo mbona mapema na mpole?
MUME: ofisi yetu imeungua na watu wote wamekufa,
MKE...
Wakubwa habari..
Ni muda sasa umepita (mwezi) ambapo baada ya mke wangu kuwa anajipaka kitunguu maji sirini na kubadilisha mikao wakati wa kushirikiana ndoa nilikuja kugundua kuwa amejiunga...
Hii inatukuta wanaume wengi unakuta huna hela na demu anakuomba ila hutaki tu kumjibu kama huna hela..na hii kuhofia tu ndege ataponyoka mikononi au labda anaweza kukuona "mwanaume suruali" kama...