Nyumba moja wapangaji wengi

Nyumba moja wapangaji wengi

julius mahinya

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
1,152
Reaction score
384
Unakuta nyumba moja ina wapangaji zaidi ya watano! Wapangaji hao wanashare luku,bafu,choo,n.k
Sasa imekuwa ni mbaya kwa jamaa mmoja baada ya kujikuta kumbe anashare mke wake na mpangaji mwenzie! jamaa ana mtoto wa miaka mitatu, alipata lifti ya kwenda kijijini alikwenda akalala bahati mbaya mwenye gari aligeuza baada ya siku mbili nje na makubaliano yaliyo kuwepo awali kuwa wange geuza baada ya siku nne ilimbidi naye ageuze! walipo fika Dar ilikuwa usiku kama ilivyo kawaida nyumba yao ina korido moja ya moja kwa moja na pande zote mbili ni vyumba, aliingia na kukuta mlango wa chumba chake umerudishiwa mtoto yumo peke yake! jamaa aliamsha wapangaji wenzake kutaka kujua mke wake kaenda wapi mmoja wa wapangaji hakutaka kufungua! walimtilia shaka mwisho wa siku wakamtuhumu na kuchukua hatua za kuvunja mlango wakamkuta mke wa jamaa kavaa kanga na kinguo cha ndani tu huku mshikaji anaomba msamaha tu!
Hakuchukua hatua zaidi ya kurudi ndani akalala na mwanae huku mke akiwa hapo nje ya mlango wao analia na kuomba msamaha usiku kucha! kesho yake kamrejesha bush.
Naomba watu mliopanga nyumba za namna hiyo kama kuna masingle kuweni makini hamtaishia kushare jiko,choo,bomba la maji, n.k hata mke mtashare!
 
bafu lipo nje, bidada anatoka na kanga huku ameloa maji kwenda kusugua mguu kwenye jiwe nje, mi nimesmama tu namuangalia huku akijisugua....dah!
 
ndo umewekewa useme usikike
 
Unakuta nyumba moja ina wapangaji zaidi ya watano! Wapangaji hao wanashare luku,bafu,choo,n.k
Sasa imekuwa ni mbaya kwa jamaa mmoja baada ya kujikuta kumbe anashare mke wake na mpangaji mwenzie! jamaa ana mtoto wa miaka mitatu, alipata lifti ya kwenda kijijini alikwenda akalala bahati mbaya mwenye gari aligeuza baada ya siku mbili nje na makubaliano yaliyo kuwepo awali kuwa wange geuza baada ya siku nne ilimbidi naye ageuze! walipo fika Dar ilikuwa usiku kama ilivyo kawaida nyumba yao ina korido moja ya moja kwa moja na pande zote mbili ni vyumba, aliingia na kukuta mlango wa chumba chake umerudishiwa mtoto yumo peke yake! jamaa aliamsha wapangaji wenzake kutaka kujua mke wake kaenda wapi mmoja wa wapangaji hakutaka kufungua! walimtilia shaka mwisho wa siku wakamtuhumu na kuchukua hatua za kuvunja mlango wakamkuta mke wa jamaa kavaa kanga na kinguo cha ndani tu huku mshikaji anaomba msamaha tu!
Hakuchukua hatua zaidi ya kurudi ndani akalala na mwanae huku mke akiwa hapo nje ya mlango wao analia na kuomba msamaha usiku kucha! kesho yake kamrejesha bush.
Naomba watu mliopanga nyumba za namna hiyo kama kuna masingle kuweni makini hamtaishia kushare jiko,choo,bomba la maji, n.k hata mke mtashare!

jamaa aliamsha wapangaji wenzake kutaka kujua mke wake kaenda wapi mmoja wa wapangaji hakutaka kufungua! walimtilia shaka mwisho wa siku wakamtuhumu na kuchukua hatua za kuvunja mlango wakamkuta mke wa jamaa kavaa kanga na kinguo cha ndani tu huku mshikaji anaomba msamaha tu!

Hapo kwenye red, pamenifanya nisiiamini stori yako. Nyumba ya kupanga, jamaa karudi mkewe hayupo, amewagongea mlango mmoja hajafungua ndo wakavunja na mlango? Akili yangu bado haijakubali hapo
 
Ila wew umefkiri, wew Shigongo hebu ujue utuambie..
 
ndio nshasema sasa deepsea au kunakngne natakiwa kusema?
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye red, pamenifanya nisiiamini stori yako. Nyumba ya kupanga, jamaa karudi mkewe hayupo, amewagongea mlango mmoja hajafungua ndo wakavunja na mlango? Akili yangu bado haijakubali hapo

yawezekana kweli hujaelewa au hujui aina ya nyumba nayo izungumzia! sasa nakuelekeza, kwa kawaida nyumba yenye korido moja navyumba pembeni huwa na mlango wa kila chumba na milango miwili wa nyuma na mbele! na kwa kuwa wapangaji ni wengi huwezi kufunga mlango mkubwa mara nyingi huwa umerudishiwa kwani huwezi monitor wapangaji wenzako muda gani waingie ila mlango wako wa chumba ni lazima kufunga japo kwa bidada alikua chumba cha pili ameukalia huku amerudisha mlango! sina maelezo ya ziada kukufanya uamini ila huo ndio ukweli, japo najua mwizi hufikiri kila mtu ni mwizi usikute umezoea kutunga sasa unafikiri kila mtu hapa anatunga!
 
Sasa nyumba kama hiyo ukute haina siling kwa juu, utaskia tu watu wanalia vilio vya furaha

wapo wengine hawana mtoto anaye nyonya ila utafikiri mtoto ananyonyeshwa humo ndani! maana kuna wengine ni kama uko baharini!
 
Back
Top Bottom