Malkia wa mtandaoni akamatika

Jokajeusi

JF-Expert Member
Jun 1, 2018
6,305
10,582
Habari wakuu!!

Unapozungumzia watu mahiri na mashuhuri katika fani za mitongozo. Fani za kurusha Vesi na swaga basi mimi ni mmoja wapo. Ni kijana niliyefuzu na kupitia mafunzo yenye viwango vya kimataifa katika fani hiyo. Kupitia ujuzi na uzoefu wangu nimefanikiwa sana kupata mwanamke nimtakaye kuushibisha moyo wangu.

Wengi wataona kama napiga tambo humu lakini ukweli ni kuwa kijana nimepikwa ni kapikika haswa. Katika fani hii ninastahili kupewa cheo cha uspeshalist hasa kwa wadada wakali na wenye viwango vya namna zote.

Mkasa mzima;

Katika pitapita zangu za hapa na pale mtandaoni macho yangu yalishtuka baada ya kuona picha isiyo ya kawaida. Picha hiyo licha ya kunitia kiwewe pia ilinisisimua kunako mtima wangwe. Nivimba macho zaidi nikiendelea kui-zoom mithili ya mchunguzi kutoka CIA. Kila nilivyozidi kuitazama ndivyo uzalendo ulivyozidi kunishinda. Suruali yangu maeneo ya Flaizi kulinyanyuka na kutunda tadhani ni nundu ya ngamia. Dooh!! kweli ujana maji ya moto.

Ilikuwa ni picha moja matata iliyomuonyesha mwanadada mwenye mvuto usiomithilika. Mapaja yake makubwa yaliyopakwa mafuta yakung'aa yalizidi kunitoa udenda kama fisi mwenye njaa kali. Ooooh! Salale nyuma yake kulikuwa na kifurushi cha Ofa maalumu. Tayari niltakafakari kuhusu menu ya kujiunga kifurushi hichi adhimu. Nilingia katika akaunti ya mlibwende huyo nikiwa na shauku ya kujionea makubwa zaidi. Looh! Kama nilivyokusudia nilikutana na picha za laana. Zipo picha alibinua makalio yake kwa mtindo wa polygon. Nyingine alibetua midomo yake na kutunisha macho yake hali iliyonifanya nitekewe kama mtu aliyepigiwa simu na watu wa Biko.

Joka Jeusi nikacheka kwa majivuno huku nikijisemea kuwa Huyu manza ndio atapima kiwango changu kama mimi ni moto au laa. Kama atakanikatalia basi kuanzia siku ile ningeacha kutongoza tena. Ningeokoka na kuona kweli dunia inawenyewe.

Mwanaume mwenye ndevu nikatuma text kwa kidosho huyu malkia wa mtandaoni. Nikaona kimya, nilisubiri kama nusu saa nikaona niachane nae. Nilijiona fala kama Simba aliyemkosa kosa swala. Niliendelea na mishe zangu.

Siku tatu baadaye yule Manzi alinijibu text na kwa bahati nzuri alikuwa online. Kimoyo kilinipwita pwita. Ngozi ilisisimuka. Nilijua nahitaji utulivu wa kipekee kumpata malkia wa mtandaoni. Tulianza kuchat ingawa yeye alikuwa hajibu haraka haraka jambo lililonitia hasira. "Hasira za nini kaka" Niliongea kimoyo moyo huku nikitabasamu. Nilikumbuka ile methali ya mwendapole na omo marejeo ngamani.

Manzi aliniambia yeye si wa bure. Yeye ni Kidosho wa gharama. Sikuogopa text zake hizo nilijua anamaanisha na ninapaswa ni mpelekee tonge mdomoni ili nivute udenda wa tamaa yake. Nilimuambia asijali kwani kwa uzuri wake anahaki ya kupewa Chapaa. Hapo hapo kilifuatia Mzinga usio wa nchi hii. Huu mzinga ungeweza kuzalishwa wapi isipokuwa nchi Russia. Mmmh! Nilitafakari. Alinambia nimtumie milioni tatu. Nilishusha pumzi mithili ya kobe dume. Ila nilimwambia haina shida. Kwani alitaka saa ngapi. "Sasa hivi dia" alijibu on the spot. looh!! Mtoto anaingia shimo la Tewa huyu ngoja avuliwe.

"Nikutumia kwa njia gani?" Hapa nilijua tuu lazima aweke namba yake ya simu. Na hakika aliiweka. Kuweka namba ya simu ni kujiua kwa sumu mwenyewe. Nikamwambia nimeiona.

Nikampigia akapokea akiniuliza mimi ni nani. Alipojua akaniambia anasubiria. Nikaanza kutoa udhuru looh!! kumbe nilinyea kambi ya Mange. Nilipokea matusi ya lugha zote. Mengine yalikuwa ni yakizungu, kama sijasahau nilisikia na yakiarabu. Mtoto alikuwa mkali kama moto wa Gesi. Alikata simu na kuniblock. Tobaa!!! Nilihisi nimeshindwa katika raundi ya mwanzo kabisa.

Ilipita wiki moja nikamuibukia na laini nyingine. Nilimtumia text hii; " Hello my love, kesho ndio naenda USA. Nipo hapa Kilimanjaro hoteli unaweza kuja?" Hii inaitwa staili ya msogezee tonge mdomoni. Huwezi amini hapo alipiga simu. Sauti yake muda huu aliingozea manjonjo kama yote. Mara aongee hivi mara vile. Kumbuka hajui kuwa aliyekuwa anaongea naye ni yule aliyemtukana wiki moja iliyopita.

Alinambia hana nauli. Nikamjibu kwa sasa sikuwa na hela kwenye simu mpaka nitoke nje. Kama anaweza achukue UBA alafu nitalipa akifika. Mrembo heka heka zikamshika. Heka heka za kunipata Joka Jeusi msafiri wa USA. Aliita UBA kisha akapiga ili niongee na Dereva. Kweli Manzi akaanza safari. Akiwa ndani ya UBA muda wote tulikuwa tunachat nae. Mara leo nakupa yote. Nakupa hata huku. Huku wapi. Nilimuuliza. Akasema nikija utapaona. Nilivuta taswira ya Tako lake lilivyokuwa la haja. Nikaanza kuhisi moto mwilini. Niligeuka muuza butcher ghafla na kuanza kupiga hesabu kuwa msabwanda wake ni kilo ishirini.

Dereva wa UBA alinipigia simu kuwa wamefika. Nikawaambia waingie ndani ya geti kisha wanisubiri. Simu ilikatika na hapo hapo nikazima simu.

Muda huo nilikuwa zangu Bunju nauza matikiti na machungwa.

Nawasilisha
 
Nimefurahi tu kwa kuitendea haki fasihi yetu. Hongera unaweza kuwa mtunzi mzuri.
 
Dah we jamaa
 
Back
Top Bottom