Kamsemo haka kanawaponza watu katika mahusiano

nyaggad

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,160
Reaction score
694
Habari wakuu!

Ngoja niende kwenye mada moja kwa moja.

Watu wengi wanapogombana na wapenzi wao hata pengine wao ndio wamesababisha ugomvi huo hujawa na kiburi na kushindwa kujishusha ili kumaliza tofauti zao na kurudisha
tena mahusiano yao kama zamani.

Hali hii huweza kupelekea kuisha kwa mahusiano yao na baada ya hapo utasikia wakijipa moyo kwa msemo huu "Wapo wengi nitapata mwingine".

Kama ni mwanaume atasema "wanawake wapo wengi nitapata wwingine" na kama ni mwanamke atasema "wanaume wapo wengi nitampata mwingine"

Wenye tabia hiyo nawakumbusha tu ni kweli wapo wengi lakini wako tofauti. Inawezakana huyo ndio pekee anayekupenda kweli lakini huwezi kujua kwa sasa hivi mpaka utakapowapata hao unaowaita wapo wengi na ukawalinganisha nae.

Kuna wanawake mpaka leo hawaojaolewa kwa sababu ya huu msemk na kuna wanaume wapo wanajuta ndani ya ndoa zao kwa sababu ya huu msemo.

Ni kweli wanawapata wengine lakini hujikuta ndani ya ndoa wao ndio wamepatikana hawana furaha kama
walivyokuwa wanatarajia.

Note: Msemo huu "wapo wengi" ni hatari kwa mahusiano yako, usiseme sikukwambia.
 
Mara nyingi mwanaume akisema hiyo kauli yake humaanisha na anakuwa mtu anaye tiale anatafuta pakutokea ,But mwanamke mara nyingi hufanya by coincidence huwa yuko typical meaningless na anataka kuondoa current mood ambayo ni depression si unajua wanawake wana njia nyingi za kuondoa hasira ikiwa moja ni kama hiyo , nyingine ni kukaa kimya au kilia wengi hutumia hiyo hasa wale wapole na wakarimu, nyingine ni kuvunja vyombo , Na baadaye hujuta sana na utaona aja mwenyewe with deeply apologize anakwambia yaishe , nawe mwanaume unakuwa na bichwa kubwa kama helmet ya Snlg
 
Ok,sawa mkuu!
 
Kwani mapenzi ni udikteta hata kama hauna furaha na hayo mapenzi uyavumilie tu. No way. Bora tuachane kuliko maumivu
 
Kama hakupendi Mkuu,haina shida una muacha aende tu!
 
Mara nyingi mwanaume akisema hiyo kauli yake humaanisha na anakuwa mtu anaye tiale anatafuta pakutokea ,But mwanamke mara nyingi hufanya by coincidence huwa yuko typical meaningless na anataka kuondoa current mood ambayo ni depression si unajua wanawake wana njia nyingi za kuondoa hasira ikiwa moja ni kama hiyo , nyingine ni kukaa kimya au kilia wengi hutumia hiyo hasa wale wapole na wakarimu, nyingine ni kuvunja vyombo , Na baadaye hujuta sana na utaona aja mwenyewe with deeply apologize anakwambia yaishe , nawe mwanaume unakuwa na bichwa kubwa kama helmet ya Snlg
Et "bichwa kama helmet ya sunlg"
 
Ni kweli, wanawake wapo weng sana, mengine ni kujihangaisha na kujichosha mwenyewe tu. Usiogope kumwacha mwanamke mmoja tu aliyekukera, there are so many other beautiful ones there outside.
 
Back
Top Bottom