youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,270
- 2,988
Kama kichwa cha habari kinavyoeleza,
Nahisi sasa huu umekuwa ugonjwa sugu kwangu.
Kila nikijitahidi kuacha mashindwa kuvumilia, yani bora nitafute namba from nowhere ili nitongoze. Nina mchumba wangu yupo mbali il hata akiwa karibu, bila kutongoza huwa nakosa amani kabisa moyoni.
Naombeni ushauri jinsi ya kuacha hii tabia.