Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Kwenye mapenzi kuna uongo mwingi, uongo mwingine ni simple na harmless. Ila kuna uongo mwingine mtu anakudanganya mpaka kuja kushtuka unakuta kushakucha. So ni uongo gani ulishawaidanganywa au...
2 Reactions
65 Replies
7K Views
Wakuu ni kamanzi kangu ka mechi za kirafiki kwenye mahusiano huwa tuko open hatuna wivu,sasa toka nimtie mtaji wa kagrocery anasema atanipa bata kama zawadi . Mbona natetemeka kwenda isijekuwa vya...
3 Reactions
17 Replies
3K Views
Umelala usiku unastuka unamkuta mkeo kashikilia kisu kikali katika pozi hili unamuuliza anakwambia eti alikuwa anakutania tu[emoji15] utamuelewa au utachukua hatua gani mdau ? [emoji2] [emoji3]...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Habari za humu Natafuta mume mwenye sifa zifuatazo Umri 27-34 Elimu si kigenzo cha mume bora Pesa inatafutwa Dini muhimu kuwa mkristo safi Kingezo kikubwa na cha Muhimu Mcha Mungu na Mwenye...
7 Reactions
149 Replies
18K Views
Habari Natafuta Mke ambaye atakuwa tayari kuishi na Mimi marekani, sichagui kabila wala dini Bali ningependa mwanamke huyo awe na sifa zifuatazo :- 1.awe msafi 2.awe mrefu kiasi 3.awe na chura...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Siti ya Nyuma kabisa kwenye Costa ya Kibamba-Mwenge alikuwepo Mtu mmoja hivi,.a man with a very serious face,komwe la ukoo, akiwa amevalia Tshirt ya njano iliyochorwa Cheni kifuani, halafu...
2 Reactions
26 Replies
5K Views
Mambo ajee wakuu?poleni na mihangaiko ya kujenga tz..Leo katika mishe zangu nimekutana na mrembo wangu wa enzi hizoo aliyeuteka moyo wa mie Big kaka mpaka nikashindwa kupata na usingizi yaani...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Nanukuu kama nilivyowasikia wengi wao ( namaanisha Wanawake ) wakisema ambapo siongezi wala sipunguzi kitu....." Wanaume wa siku hizi wanapalaza na kupapasa tu ila Wanaume wa zamani waliwa...
4 Reactions
62 Replies
10K Views
Habari za Leo.Ndugu zangu kama kichwa cha habari kinavyosema..Mimi ni mdada Ila ninatatizo la kua na huruma hata mtu akinifanyia ubaya siwezi kumlipizia au hata kukata mawasiliano nae pia nakuaga...
12 Reactions
186 Replies
11K Views
Wakuu salama Hapa nina furaha sana shemeji/wifi yenu kajifungua ntoto wa kiume muda mchache uliopita Sasa kupitia nyie waungwana mnisaidie kuchagua jina zuri kwa huyu newborn baby boy Msaada...
9 Reactions
120 Replies
83K Views
Mzuqa Leo alfajir nilipokuwa nawahi mzigon nikamtokea mdada mzuri mwafrika. Akanijibu kwa ghazab hey its morning am not interest. Nikashangaa kwani kutongonza ina muda maalum ila hawa dada zetu...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Habar wana jamii Imemtokea jamaa yangu naishi nae jirani ambae alikutana na demu mwez mmoja uliopita,wakakubaliana kuingia kwenye mahusiano na kupeana mda wa kuachana na wale wapenzi walioanza nao...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
8 Reactions
56 Replies
9K Views
Mabandiko kadhaa yamefanya nianzishe mada hii. Inaelekea akina kaka/baba wanadhania kuwa mzigo wa kuimarisha uhusiano ni kazi ya akina dada/mama.Wanadhani kuwa kuna vitu wakina dada/mama...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Watoto ni kama wanasayansi makinda. Toka miezi ya mwanzo kabisa watoto hutaka kujua wanavyoweza kuathiri watu na vitu vinavyowazunguka. Kupanga-pangua vitu, kuangusha au kugonga-gonga vitoe...
12 Reactions
138 Replies
10K Views
Za mda huu na weekend kwa ujumla. Wakati bado natafuta mchumba/mke wa maisha hapa mwanza. Nafikilia hapo nipate mtu wa kuanza kuchat naye hapa na kabadilishana mawazo ili ikiweza kuifanya siku...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
ACHA KABISA! Ni zaidi ya adhabu. Nimewahi kulala hapo Somanga ilikuwa balaa Yaani watu hawalali usiku hapa duniani lakini funga kazi ilikuwa ni Masasi-Mtwara huko kwa Muheshimiwa B.W.Mkapa. Hapo...
8 Reactions
58 Replies
6K Views
Niliwahi kusikia kuwa wanaume hunawiri sana kipindi wake zao wananyonyesha, sijui hii ni kwasababu ya kupunguza kugegeda au huwa nao wananyonya. Maana pia niliwahi sikia akina mama wengine...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
DR LILIAN DUBE Amepata majibu ya Kansa ya Tezi dume na Maziwa Anashauri vijana wakiume waendelee kuwanyonya Maziwa wadada / wake zao Na wadada kuwanyonya wanaume gololi zao Risiti kamili...
7 Reactions
145 Replies
16K Views
ACHA UMBEA NENDA KAFANYE KAZI WEWEEE 🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🥴🤮
0 Reactions
185 Replies
16K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…