Tangia nihamishe makazi yangu rasmi dar baada ya kuwa waziri ninae uwakilisha ukanda wa kaskazini, na kuhamia rasmi mkoa wa Dar Es Salaam, nimesha tembea maeneo mengi sana na viunga karibia vyote...
Katika karne hii mwanaume kumrubuni na kuamua kumtorosha mke wa mtu sikujitafutia mikosi? Dunia iliyojaa mabinti wazuri kila kona kuna mabinti warembo wasomi tena Wenye kiu ya kuolewa mtu anaamua...
Sija wahi enjoy tendo licha ya kujaribu mara nyingi na kika aina ya hilo tendo nime jaribu lakini sija wahi enjoy kama wenzangu wanavyo hadithia kwamba tendo lina raha sana , kuna wakati mpaka...
Wadau bafu ni moja tu na muda wa kuoga ni mmoja hakuna mtu kuoga kivyake..ewe mwanamke wataka nani akusugue mugongo kwa mafuta ya Olive Oil na ewe mwanaume mwenzangu wataka nani akuchane ndevu na...
Kama unakumbuka enzi za maswali ya nyodo ya professor Bichwa kwenye lile gazeti flani lililotamba enzi hizo
Sasa kupitia uzi huu utaweza kuuliza swali lolote la nyodo kisha utajibiwa.
Haya sasa...
Hi JF, MMU in particular.
Leo nimeshikwa na mfadhaiko mkubwa sana. Sikujua nini kimetokea ila kifupi nimepoteza credit kwa mrembo huyu.
Kifupi, imenichukua muda mrefu na lasilimali pesa na muda...
Ndu zangu wana jamvi....
Naomba nieleweke hivi, nimechoka, sijui tatizo langu ni kwamba napenda sana bila kiasi, nimepitia kwenye mahusiano kama matatu sasa toka nijue mapenzi ni nini, mwanamke...
October 17,1997 Friday night
Ilikuwa kosa kubwa sana Mshahara wa Ajira yangu ya kwanza hapa DAR kuingia kwenye Account yangu wakati Weekend ndio inaanza.
Sikujiuliza mara mbili, nikatoa...
Wana JF, naweza kupata ufafanuzi ni kwanini ughaibuni vijana wengi wa kiafrica wameoa/wameolewa na VIZEE vya kizungu?? Au ndio matunda ya SEX TOURISM inayoendellezwa na VIZEE huku AFRICA???
Habari mchana wanajamvi, nadhani mpo salama kabisa.
Nilileta thread ya kuwa wazazi wanahitaji nioe nikiwa bado na umri mdogo, baadhi ya member walinishauri kuwa nifanye uchunguzi kutakuwa na...
Niko na mpenzi wangu ambaye tulipendana sana lakini ghafla amebadilika bila sababu nikipiga simu hapokei, msg hajibu na hana habari kabisa nimemuulza sababu hakuna jibu la maana analonipa ila...
Hili gonjwa la kisukari limekuwa tishio sana kwa binadamu.
Kuna misemo mingi tu kuwa eti kama mwanaume ana sukari uwezo wake wa kujamiiana/kumwingilia mwanamke unapungua au unaisha kabisa...
Wasalam
Katika maisha yangu nimekuwa nikisikia mara kwa mara kuwa Ndoa ni zaidi ya kuwa na uhakika wa kucheza kibaba baba na kimama mama usiku (au muda wowote fursa ikipatikana).
Ki ukweli kwa...
Mke : Hun kuna jambo muhimu sana nataka nikwambie .
Mume : Jambo gani tena mama watoto.
Mke : Au basi tuache tu
DONT PUSH HER TO TELL YOU. YOU KNOW THE REASON?
NITATOA MAJIBU ZIKIFIKA...
Kila mtu ana mwezi wake wa bahati yaani ule mwezi ambao kila ukitongoza mwanamke akikubali basi lazima ule mzigo.
Pia kuna ule mwezi wa gundu huu mwezi bwana usiombee kabisa kila chimbo...
Wanabodi yani tunakoelekea kubaya,
Kuna mdada mmoja jina × anaishi Gongo la Mboto, kipindi hajaolewa alikuwa mtulivu sana na utulivu wake ulisababishwa na kuwa chini ya uangalizi mkubwa wa babake...
Wapendwa juzi ndio ilikuwa ile Birthday ya Kipenzi cha roho yangu, Asali wa Moyo asiyetoka Tabora,Barafu wa Roho bila Friza, Sweet Alovera , The Most Loved Baby of all time bibie Maimuna...