TADPOLE
JF-Expert Member
- Nov 18, 2015
- 3,364
- 11,054
Wapendwa juzi ndio ilikuwa ile Birthday ya Kipenzi cha roho yangu, Asali wa Moyo asiyetoka Tabora,Barafu wa Roho bila Friza, Sweet Alovera , The Most Loved Baby of all time bibie Maimuna Kibindankoi!
Well, nikaona ni vema kumfanyia Suprise ya kufa mtu na kamwe asisahau kwa maisha yake yote!, tena nikaamua nifanye ile mpya mpya ya siku hizi,
Basi kwa ushirikiano mkubwa na Ndugu na marafiki tukapanga Suprise ile niifanye wakati wa jioni akiwa anatoka kazini ili mimi niwahi kufika nimfanyie Timing kali!,
Ilipofika saa 1:27 jioni nikawa tayari nipo home nimeshaandaa keki yangu ya Maboga ngazi sita,juisi ya miwa lita 5,senene hot pot 3,magimbi sufuria 2,...leo nataka vitu natural tu, ndipo nikampigia simu!
MIMI : Where are U my Sweetie??
YEYE : Hapa jirani Kwa kona ya duka la Mangi Mpenzi,vipi kwani?
MIMI : daah Kipenzi leo nina Homa kali kwa kweli wahi!
YEYE : Pole My, kumbe ndio maana upo home mapema ee!
MIMI : Ndio Mpenzi wangu.
afadhali anakaribia kufika, baada ya dk 3 atakuwa hapa,nikazima taa zote pale uwani pakawa giza, mimi na waalikwa wote tukagawana ndoo za maji, wengine tope,..Kaka yangu bwana Hamisi Mapupu alijificha upande wa mashariki na ndoo ya lita 20, Dada zuwena Makoroboi akabana kushoto na beseni la maji ya sabuni,...Shost
i wake Roda Chechezamoto akabana nyuma ya nyumba na ndoo ya tope lita 20, ...halafu mimi Master wa Suprise nikabana nyuma ya mlango wa choo pale uani!,...sasa alisubiriwa Maimuna!
Kama baada ya dk tano tukasikia hatua za mapozi za mtu anaingia mahari pale kwa mwendo wa kujivuta,...basi fasta na beseni la kuogeshea watoto huyooo na nikamuogesha mtu mzima!,...kweli nilimminia maji ya kutosha plus kandoo kengine ka tope!,... wengine nao wakaja na mindoo yao pale tukamlowesha kweli kweli..that was cool!..mission accomplished!
Ndipo nikasema "Lights on! Suprise Baby! Happy Birthday! taa zote zikawashwa!.
Hamad !!! sasa hapa Mbele yetu hapa alikuwa amesimama Kanari Mwita Chacha Kikoroboi anayekaa hapo Chumba cha pili...naona alikuwa akitokea kazini Lugalo!, kwa kweli MP wa jeshi sasa amelowa maji chapa chapa,mabuti yapo chapa chapa!, ...Gwanda limesheheni tope!..this is the error of mistake!..unpredictable!....sasa mkononi beseni lilikuwa zito kuliko Jeneza,....sasa ni dhahiri zile ndita nene pale kwenye paji la usoni kwa afande ni ndita pacha wa vipande vya Tangawizi!!!
Kwa kweli kilichoendelea hapo mi sina kumbukumbu kabisa maana ndio nimezinduka sasa!...hapa pembeni yupo My Love anajaribu kunichua Ulimi na Salimia...nahisi kuna dis-location"
By the way nani anamjua Mganga mzuri wa Mifupa?[emoji23][emoji23]