ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 43,613
- 89,977
Hili gonjwa la kisukari limekuwa tishio sana kwa binadamu.
Kuna misemo mingi tu kuwa eti kama mwanaume ana sukari uwezo wake wa kujamiiana/kumwingilia mwanamke unapungua au unaisha kabisa.
Tunaomba practical experience hapa:
-Hivi ni kweli kuwa mtu akiwa na sukari basi ni lazima abustiwe na mkewe?
-Hamu ya kumuingilia mke inakuja kama mawingu kipindi cha kiangazi? Na kama mke yupo mbali ni ngumu ku-maintain erection?
-Njia gani au dawa gani huwa wanatumia ili kurudisha heshima chumbani? Ama ni viagra na vumbi la Congo?
-Vipi kwa wanawake wenye sukari, hali kwao ikoje? Wanakosa hamu kama wanaume?
-Je, mwanamke wa karne hii anaweza kweli kumvumilia mumewe hasa kama anajua kabisa mume ana sukari inayoleta upungufu wa nguvu za kiume?
Mungu aepushie mbali haya maradhi, lakini muhimu sana tujitahidi kufuata kanuni muhimu za ulaji na lishe. Tusile tu ili mradi, hizi junk food, nk zitatumaliza wanaume.
Maradhi ya sukari na shinikizo la damu yamekuwa tishio kuliko hata ukimwi.