Wanasema Ndoa ni Zaidi Kufanya Mapenzi, Naomba 'Components' Nyingine za Ndoa

Mc cane

JF-Expert Member
May 18, 2018
5,570
10,506
Wasalam

Katika maisha yangu nimekuwa nikisikia mara kwa mara kuwa Ndoa ni zaidi ya kuwa na uhakika wa kucheza kibaba baba na kimama mama usiku (au muda wowote fursa ikipatikana).

Ki ukweli kwa kipindi kirefu huo ndio umekuwa uelewa wangu.

Naomba mnifumbue macho, je kwenye Taasisi ya Ndoa kuna mambo gani mengine ambayo Wanandoa wanaweza kuyapata?

Nawasilisha
 
Muulize MUNGU Alionaje mpaka akaamua kwa kutumia tu hekima amtafutie Adam wa kufanana naye Ili Adam ajisikie kukamilika
 
Aaahh unahis kwann wanyama waliumbwa Dume na Jike??...nkm waliumbwa kwa ajili sexy ,kwann wanakutana wakat wa kupeana mimba tu???.

Ndoa ni zaidi ya Sexy , Sexy tumepewa kama sehem ya "Furaha ya Muda mfupi" , ndio maana mwanamke akifika Menopause nahamu ya ngono inaisha nakidogodogo hamu kwa mwanaume huanza kuisha na kupoteza nguvu.

Sasa je, Kwasababu hamu zao za Sex zimeisha waachane kwakua Sex haipo tena?? Bila shaka huo utakua ujinga.

Sasa hiyo inamaanisha ndoa nizaidi ya Sex, unaoa kwaajili ya Kuzaa, kupewa joto ndan ,kua namsir wako, mtu atakayekuelewa hata ktk madhaifu na maumiv yako, unaona ili akusaidie.

KWA UFUPI, KAMA MWANAMKE ASINGEUMBWA , BINAFSI NINGEKUA CHIZI NA DUNIA KWANGU INGEKUA YA HOVYO OVYO!! .....Hata kuongea na mwanamke tu unayemkubali ni Bongee la sehem bora ya maisha.
 
kukosea KUJENGA NYUMBA utaibomoa KULIKO KUKOSEA KUOA,,,na UPAPASWA uelewe kwamba NDOA NI ZAIDI YA TENDO LA NDOA,,ingawa lile TENDO NDY LINAKAMILISHA NDOA,,,Nina maana kwamba kila BINADAMU ANAKUWA NA NYOTA YAKE,,,,ktk MAISHA,,,, unapooa MWANAMKE ambaye ana NIKSI NA MIKOSI basi elewa UTAPATA HASARA KTK MAISHA NA MAMBO YAKO,,,na ukioa MWANAMKE ambaye ana nyota nzr basi ni chanzo cha KUFUNGUKA MAMBO NA MAISHA YAKO,,,Nina maana kwamba ktk maisha ya NDOA unaweza ukawa unatumia NYOTA YA MKEO BILA KUJIJUWA,,,ndy maana unakuta MTU akiwa na UGOMVI WA MARA KWA MARA NA MKE,,,mambo huvurugika,,,,na kujiona UMEROGWA,,,tuwapende wake ZETU,,, tuwasikilize mawazo yao,,HUENDA HAPA TULIPO NDY WAO WALIOTUPANDISHA AU KUTUSHUSHA..,,,,huo ni USHUHUDA 100%
 
Kinachofanya ndoa ionekane ni kufanya mapenzi ni pamoja na lile tendo lenyewe linaitwa tendo la ndoa.

Inamaana hilo tendo ndio limebeba ndoa?
 
Kinachofanya ndoa ionekane ni kufanya mapenzi ni pamoja na lile tendo lenyewe linaitwa tendo la ndoa.

Inamaana hilo tendo ndio limebeba ndoa?
mkuuhapa waje wanandoa ndo watatupa ukweli Ingefaa Huu uzi uchangiwe na waliopo ndoani tyuuu siye machalii tusome comments tyuuu
 
kukosea KUJENGA NYUMBA utaibomoa KULIKO KUKOSEA KUOA,,,na UPAPASWA uelewe kwamba NDOA NI ZAIDI YA TENDO LA NDOA,,ingawa lile TENDO NDY LINAKAMILISHA NDOA,,,Nina maana kwamba kila BINADAMU ANAKUWA NA NYOTA YAKE,,,,ktk MAISHA,,,, unapooa MWANAMKE ambaye ana NIKSI NA MIKOSI basi elewa UTAPATA HASARA KTK MAISHA NA MAMBO YAKO,,,na ukioa MWANAMKE ambaye ana nyota nzr basi ni chanzo cha KUFUNGUKA MAMBO NA MAISHA YAKO,,,Nina maana kwamba ktk maisha ya NDOA unaweza ukawa unatumia NYOTA YA MKEO BILA KUJIJUWA,,,ndy maana unakuta MTU akiwa na UGOMVI WA MARA KWA MARA NA MKE,,,mambo huvurugika,,,,na kujiona UMEROGWA,,,tuwapende wake ZETU,,, tuwasikilize mawazo yao,,HUENDA HAPA TULIPO NDY WAO WALIOTUPANDISHA AU KUTUSHUSHA..,,,,huo ni USHUHUDA 100%
nakuunga mkono
 
Back
Top Bottom