Usifanye mistake kwenye mwezi wako wa bahati.

Zero IQ

JF-Expert Member
Dec 21, 2016
13,917
24,674
Kila mtu ana mwezi wake wa bahati yaani ule mwezi ambao kila ukitongoza mwanamke akikubali basi lazima ule mzigo.

Pia kuna ule mwezi wa gundu huu mwezi bwana usiombee kabisa kila chimbo uliloliweka ukifika haulambi hapa yaweza kuwa ata yule demu ambae kitaani kwenu watu wanajua ni wa kubeba tu na kula mzigo lakini ikifika kwako anaignore.

Yaani unaweza seti mipango ikawa done lakini ikifika muda wenyewe wa kujilia tunda unakuta njiwa wako kayeyuka.

Huu mwezi usipokuwa na demu permanent unaweza kujikuta unaumaliza bila kuonja papuchi yeyote.


Sasa huu ni mwezi wangu wa kuzilamba papuchi,mwezi huu na unaofuata naona ndio utakuwa mwezi wangu ule wa bahati,

Nilianza na kule tanga,nikaja huku manyara,nikaendelea na wale wawili niliopiga game ndani ya siku moja,bila kusahau yule aliyenikopa buku tatu ya kununua pichu ,pia na yule mpenz wangu aliyeniita kwake wakati anakaribia period,

Yote hayo ni ndani ya mwezi huu huu wa bahati na soon kuna vichwa vingine vitatu vimeshaingia king kimoja kinaliwa kesho vingine nitavipanga katikati ya wiki ijayo.

Mwezi huu siwezi kufanya mistake ata kidogo ya kuacha papuchi ili kufidia mwezi ule wa gundu.
 
PAMOJA MKUU ILA KAMA HUTOJALI TUPE NA MBINU PIA ZA KUUTAMBUA MWEZI WA BAHATI KWA KILA MTU
 
Back
Top Bottom