Bao la kwanza, limenipa mfadhaiko

doppla2

JF-Expert Member
Jun 16, 2014
1,314
1,366
Hi JF, MMU in particular.

Leo nimeshikwa na mfadhaiko mkubwa sana. Sikujua nini kimetokea ila kifupi nimepoteza credit kwa mrembo huyu.

Kifupi, imenichukua muda mrefu na lasilimali pesa na muda vimetumika sana mpaka kukubaliwa na mrembo huyu.

Amelazimika kusafiri toka Arusha, nilifanikiwa kumuaanda kwa mchezo wetu ule pendwa, kwa ishara zote za text, mrembo alikua tayari kwa show ya kibabe

Mfadhaiko wangu ulitokana na kile kilichotokea baada ya bao la Kwanzaa @ gafla, nilikuja kuamuka toka usingizini, mrembo akiniambia pole, umekoloma sana nimeona nikuamushe ukaoge, nahisi hujalala week nzima .

Kwa unyonge nilijitahidi nikaenda kuoga, nikiwa bafuni nikawa najaribu kurecall nini kilitokea? Nilitumia muda gani kuperfom mechi Ile? , Kabla ya kulala nilikua nikiongea maneno gani? Japo sikupata majibu, nililejea chumbani nikiwa mnyonge.

Sikutaka kusema mengi, nilijipaka lotion na kupanda kitandani. Mrembo alikua amelala, sikutaka kumsumbua, nilivuta shuka nikalala pia.

Sikupata usingizi tena, swali kubwa ambalo akili yangu ilikua inalitafakari ni nini kilitokea baada ya mechi hadi nikalala vile?

*Uzoefu wangu ulinitesa, kwangu huwa ni marufuku kulala kama demu yuko chumbani na hajavaa chupi *****

Ilipofika mida ya saa kumi ,niliazimia kusahiisha makosa ikiwa mechi ya Kwanza nilichemka .

Nilimkubatia mrembo vizuri, aligundua niko kazini tayari, akanipa ushirikiano wote
Tulipiga mechi taratibu kwa kuzingatia sheria zote za Fifa.

Nilikuja kushituliwa na mlio wa simu tayari kigiza nje kimeshaanza kuingia, lakini wakati wote huo nilikua kifuani mwa mrembo huyu.

Wakati tunapata dinner , Licha ya maneno mengi ya sifa juu ya mechi, akili yangu ilikua bado imejaa mfadhaiko juu ya bao la kwanza.

Kadhia hii imenipa kutafakari sana, kama mimi nimefadhaika kwa kupiga bao la Kwanzaa chapuchapu na kulala fofofo....!!! Vipi washikaji amabao jongoo hushindwa kupanda mtungi???

Nimekuja kuamini uanaume ni uwezo wa kusimika mpiniiiiiiii.......!!!!! Otherwise hata uwe bill gate hutokaa ujiamini kabisa.

Wakuu ebu leteni uzoefu wenu jinsi bao la Kwanzaa lilivyowahi kukuondolea confidence!!!!!

Regards
 
Unaonesha unagegenda baada ya mda mrefu kupita hivyo baadhi ya mambo ya kawaida wewe unayashangaa..Yaani unasafiri safari ndefu hivyo ndefu hivyo harafu hapo jilani kunamademu Tena Wa nakupenda bila wewe kujua.
Anza na hao Wa jilani halafu huyo Wa mbali ukamalizie tu.

Pili usisikilize sana story kuhusu kugegedana. Kukaa kifuani mda mrefu sio tija. Tija nikumfanya mwenzio pia apate raha ya penzi pamoja na kumfikisha killeleni.
 
Akiwa wa mbali K yake inageuka radha?
Acha utoto
 
Unaonesha unagegenda baada ya mda mrefu kupita hivyo baadhi ya mambo ya kawaida wewe unayashangaa..Yaani unasafiri safari ndefu hivyo ndefu hivyo harafu hapo jilani kunamademu Tena Wa nakupenda bila wewe kujua.
Anza na hao Wa jilani halafu huyo Wa mbali ukamalizie tu.

Pili usisikilize sana story kuhusu kugegedana. Kukaa kifuani mda mrefu sio tija. Tija nikumfanya mwenzio pia apate raha ya penzi pamoja na kumfikisha killeleni.
Hafu tusipangiane....
 
duh umempata mtoto wa R chuga. duh kuna mmoja nilipiga naye mechi ngarenaro duh. kitu mbuzi kagoma karibu dk 45 hivi kisha nikageuza kifocha mendd dk 20 mweh. kutiana raha hasa umpate demu aujuaye mchezo. anyway bao la kwanza ni hatar hasa kama hujatuliza akili mazee.
 
Kwenye kubeti hiyo inaitwa X/1 au 2/1.
Yani the first team will draw half time but win full time and 1st team will lose half time but win full time respectively.
 
Back
Top Bottom