Hivi wanaume wa hivi nani kawaroga?

Hivi wanaume wa hivi nani kawaroga?

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,649
Reaction score
2,805
Katika karne hii mwanaume kumrubuni na kuamua kumtorosha mke wa mtu sikujitafutia mikosi? Dunia iliyojaa mabinti wazuri kila kona kuna mabinti warembo wasomi tena Wenye kiu ya kuolewa mtu anaamua kujilipua kumuoa mke wa mtu tena mwanamke bila haya anaamua kuwaacha watoto nakutoroka kwa kisingizio cha ugumu wa maisha (Tamaa) hivi wewe mwanaume unadhani uyo mke aliyeamua kumuacha mume aliyezaa nanye wewe utamuweza? Inawezekana kaja kwako kwasababu ya kagari ka mkopo siku kakihariba itakuwaje?

Wanaume acheni kupoteza muda na awa viruka njia kumbuka huwezi kuoa mke anayekimbia ndoa,ivi mnataka awa mabinti waolewe nanani?
 
Mimi nahisi huyo mwanaume itakuwa karogwa na huyo mwanamke.
Kuanzia kwenye chai, juisi, chakula nk.
 
Akunyimaye kunde, wala usiwaze mkuu.
 
Mimi sijalizwa Ila kuna rafiki yangu mke wake wa ndoa aliamua hivyo mimi nikamshauri asioe mpaka watoto wajitambue nilichoamua kwakua sikutaka watoto waende kwa Bibi yao uko Makambako nikamuomba mke wangu tukae nao akanikubalia mmoja alikua na miaka mitatu na mkubwa akiwa na miaka mitano. Na tayari wako shule Ila mama yao alibadili mpaka simu na uyo rafiki yangu akaamua kubadili mji yuko Arusha na anawapenda sana watoto wake sasa wanawake sijui vichwani mna nini.Lakini pia wanaume sijui nani kawaroga baadhi yetu mbona warembo niwengi jamani?
Awa wote hamuwaoni au hamjui kutongoza? View attachment 875142
images-8.jpeg
Ethiopian%2Bmama.jpg
Zuhura.jpg
images-4.jpeg
maxresdefault.jpg
02AD07A8-D98D-4648-BFD6-B564CC8CBE4E-2662-000002E9152576CA.jpeg
images-6.jpeg
images-3.jpeg
Angela-kagame.jpeg
images-5.jpeg
downloadfile.jpeg
 

Attachments

  • IMG_8403.JPG
    IMG_8403.JPG
    43.4 KB · Views: 43
Mimi nikilizwa nakata rufaa Kisarawe si Jimbo liko huru? Au!
 
Pole sana mkuu! Ila aliemtorosha hana time ya kumuoa, anamtumia tu then atakurudishia mzigo wako. Ni suala la muda tu, we vuta subira.
 
Naona umeweka picha ya DC wa Kisarawe hivi we jamaa unajipenda kweli?

ukipigwa vitasa vya shingo sijui utamlalamikia nani, pathelic
 
Pole sana mkuu! Ila aliemtorosha hana time ya kumuoa, anamtumia tu then atakurudishia mzigo wako. Ni suala la muda tu, we vuta subira.
Ni kweli. Ukitaka kujua mambo ya hivyo yana laana. Huyo mke atarudi, kama sio leo atarudi watoto wakiwa wakubwa. Na niseme tu watakuwa wamemchukia mama yao asilimia 500, maana ukweliw atakuwa wanaufahamu.
Huwa wanarudi, na siku akirudi huwa wanajifanya kujutia sana.
 
Mwanamke akiondoka unaendelea na maisha haina haja ya kuhangahika nae
 
Tatizo so mke wa mtu wala tatizo sio kuwa mabitn wapo wengi tatizo wake za watu wakikupenda utakula mshahara wa jamaa mpaka wanajua kutuza hawa watu tatizo kubwa walilo nalo wanang'ang'ania kama nn
NIWATAMU KAMA SUNGURA
 
Pole sana mkuu! Ila aliemtorosha hana time ya kumuoa, anamtumia tu then atakurudishia mzigo wako. Ni suala la muda tu, we vuta subira.

Watu wanavuta sigara na bangi, mambo ya kuvuta subira yashapitwa na wakati. Asonge mbele na maisha yake as long as watoto wako Happy
 
Back
Top Bottom