Virginity doesn't mean dignity, is just lack of opportunity influenced by divinity

kabwinyola

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
554
1,000
Wanabodi yani tunakoelekea kubaya,

Kuna mdada mmoja jina × anaishi Gongo la Mboto, kipindi hajaolewa alikuwa mtulivu sana na utulivu wake ulisababishwa na kuwa chini ya uangalizi mkubwa wa babake ambaye ni mchungaji. Kipindi anachumbiwa alipata fursa ya kuwapiku wengine na kuolewa akiwa wa kwanza katika mazingira yale kwa kigezo cha kuwa hajawahi kulala na mwanaume.

Kwenye ndoa baada ya mwaka mmoja ameshafanya kutembea na mdogo mtu yaani shemeji yake alokuwa anaishi naye mume wake anavyosafiri. Mume wake anafanya biashara ya kusambaza computer mashuleni, na anazifuata Dubai na Hong Kong. Kabla hajaoa ilibidi amlete ndogo wake aishi naye kwake na kumlipia Chuo cha maji (Rwegalulira water supply).

Baada ya kuoa mdogo mtu ameonekana kufurahia ndoa kuliko mwenye ndoa.
Na alivyo bwege anasimulia watu kitaa, kweli kumbe wakati wa kuoa usifuate kigezo cha bikra, maana wengine wahuni wanakuwa hawana njia ya kuzitoa.

Kuweni makini kabla ya kuoa.
 
Edoedward1

JF-Expert Member
Apr 20, 2012
798
250

Mwenyemke akisoma huu uzi lazma atajua unamsema yeye, its as good as umemtaja jina, mdogo mtu shughuli anayoo
 
CHARMILTON

JF-Expert Member
May 30, 2015
6,909
2,000
Mh! njia ipitwayo na wengi huwezi kuokota pesa....nina wasi wasi na wanawake, hizi bikra zao sijui huwa zimeandikwa best before 16yrs old? mbona huku kwenye 20s na kuendelea ni za kuotea sana?
 
love you

JF-Expert Member
Jun 14, 2016
728
1,000
Mh! njia ipitwayo na wengi huwezi kuokota pesa....nina wasi wasi na wanawake, hizi bikra zao sijui huwa zimeandikwa best before 16yrs old? mbona huku kwenye 20s na kuendelea ni za kuotea sana?
ikikaa Sana ita expire..
 
afande kifimbo

JF-Expert Member
Aug 31, 2015
6,262
2,000
mke bora sio kuwa bikra........vijana tulizeni munkariutaskia siwezi oa ambaye sio bikra...nakuonea huruma...mke bora na mume bora ndio ishu hapa......mtoa thread facts big up
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom